Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

Pesa za kufa mtu afu unatumia daladala za Dar?please,labda hela zako za masharti ya kichawi
 
Wanaume nao wabaguzi km nin akishakua na kigari anataka mwanamke wa class flani hivii amazing,
 
Wanaume nao wabaguzi km nin akishakua na kigari anataka mwanamke wa class flani hivii amazing,
wale wanao vaa mikato fulani we na magauni yako ya vitenge marefu wanashindwa kupima lita .. lazima uwe wa kujiacha acha fulani... hahaa we subiria tu uje ununue gari na mumeo
 
wala usiwalaumu sana Mungu ndo aliyewaumba hivyo. Embu fikiria wangepewa akili za kupambanua mambo kwa ufasaha zadi kama walivyo wanaume vileee, unafikiria wewe ungepata kigegedeo wapi.
NB: Uongo wa mganga ndo nafuu ya mteja
hivi wanaume wanaopambanua mambo kihiiivyo (21c) wanapatikana makumbusho yapi??

hebu men change your stagnant mind unapokutana na mtu mkapeana mazingira hatarishi unajiona wew uko sawa ila yeye ndo kakosea eeeboo! hamna mwema hapo wote mko cheap maana kama unajitambua usingefanya naye
 
Unayosema ni kweli kabisa. Lkn umesahau kuwa na nyie mnarubuniwa sana na wadada...sijui ni kwa uzuri wao au ni tamaa zenu. Madem wanaliwa sana...wanaume wanawala sana madem. Kama kuna magonjwa anayeliwa na anayekula wote wanapata. Hakuna tofauti kabisa. Kinachowafanya mdumbukize dyudyu zenu kwa hawa madem ni nini? Mliwa na mlaji wote wale wale.

Jua kali sana siku hizi jamani.
Nimekupenda kwa kuwa mkweli na muwazi......
 
wale wanao vaa mikato fulani we na magauni yako ya vitenge marefu wanashindwa kupima lita .. lazima uwe wa kujiacha acha fulani... hahaa we subiria tu uje ununue gari na mumeo
Yani wengine hawana maana smtym,Acha watafte kwa jasho tuvifaidi mana hamna namnaa
 
Hahahaaaaa! Wenzio hatujui magari ya serikali ni yapi na ya binafsi ni yapi, ilimradi gari tu basi inatosha.
Hahahaa inabidi tu muanze kuyajua madereva wapunguze kutugongea dada zetu,ukiwakuta kwenye mashangingi sasa utadhani ya kwao
 
sasa nimekusoma vizuri brenda lakini kiukweli baadhi ya wadada huwa hawajali kama gari ni private au la serikali wao ilimradi liwe gari tuu..
nimekuelewa vizuri ulipotaja Ford F-150 na Discovery naamini hata Defender unaielewa vizuri
Naielewa sana hio kitu,nikiona mwanamke anaendesha namkubali
Nakubaliana na wewe inawezekana hawawezi kutofautisha ipi ni private na ipi ya serikali
 
Kuna men mmoja ana gari aina spacio, huyu mtu ni limbuken ajabu, alikuwa akijaga home akishuka Na gari nje basi anaanza kuinyoosha nyoosha au kufutafuta Na kubonyeza bonyeza tairi yaani ili mradi tu, nilikuja kumpiga maruku kukanyaga kwangu, maana ni aibu
Hahaha dooh,inashangaza kwakweli...
 
Hahahaa inabidi tu muanze kuyajua madereva wapunguze kutugongea dada zetu,ukiwakuta kwenye mashangingi sasa utadhani ya kwao
Hivi jamani ya serikani si yanakuwa na plate number za serikali kabisa, sasa washindwa nn kutofautisha? Ila difender duuuuh
 
Back
Top Bottom