Wasichana 10 wanahitajika kwa ajili ya kuuza maduka(Nguo,Vipodozi,Simu,nafaka na Viatu)

Stanboy

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
1,115
1,300
Habari GT?
Wasichana 10 wanahitajika haraka sana kwa ajili ya kuuza kwenye maduka tajwa hapo juu yaliyopo sehemu tofauti tofauti hapa Tanzania..

SIFA
1.Awe anajua kusoma na kuandika vizuri.
2.Awe anaweza kufanya hesabu nyepesi za dukani yaani kujumlisha,kuzidisha,kugawanya na kutoa.
3.Umri usizidi miaka 25.
4.Awe tayari kuishi sehemu yoyote hapa Tanzania(maduka yako mijini tu)

MALIPO
Maelewano juu ya malipo yatafanyika baada ya kukidhi vigezo.

MAWASILIANO
Tuma majina yako halisi,sehemu unayoishi kwa sasa,umri wako na picha(full) tatu kwenye namba +255 766 444 050(whatsapp only)

Asanteni
 
Mabinti kazi kwenu tumeni picha zenu,Ajira za siku picha mhimu.Hapa kuna kitu kinatafutwa..............
Picha muhimu sana,maana hatuna muda wa kuwaita na kuwafanyia interview...
Physical appearance hasa katika hizi biashara za nguo,urembo na vipodozi ni muhimu sana
 
Haka sio kamtego kakuwatafuna kweeeli?

Tunatafuta watu wa kutusaidia kufanya kazi(kutafuta pesa),
ningekuwa natafuta wanawake mbona kuna jukwaa la mambo hayo...ningeandika kwa uwazi kabisa,wanawake wapo wengi mno kila mahali fanya kazi ndg usiwaze negativity kila muda..

Halafu waambie walioomba wote waje watoe mrejesho hapa kama kuna aliyeambiwa kitu tofauti na kazi.

Asante
 
Yani nimemaanisha kama ameweza kuiaccess jf basi simu yake automatically itakua na whatsapp.
Kwani lazima awe member wa Jf tu ktk hizo kazi?! Maana naweza kuona habari hii Mimi nikaunganisha mtu mwingine ambaye hata siyo member wa Jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom