Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

🎶🎶🎵🎶Come out of Babylon my brother, Come out of Babylon my sister.🎤🎤🎤

baraka gani sasa hata hivyo.
RC has never been what you guys were made to believe. That thing is a cult.
 
Kama hii habari ni kweli basi kanisa limeshapoteana!!!!

Hapa mwanangu hakuna ch kipa imara wala nini nitamfundisha kusali mimi mwenyewe huu ni uwehu!!

Yani hawa jamaa weupe sijui wana shida gani na hii dunia, naisi wanataka dunia iwe ni sehemu ya ajabu sana na isiyo kuwa salama.

Kuna siku itafika mpaka uwe shoga ndo upate kuhudumiwa hudum za kijamii, hawa sio binadamu wenzetu kanisa na ushoga kwelii???

Biblia yenyewe imekataza mambo ya sodoma huyu mzee atakuwa ni shoga bila shaka.
 
Askofu Mkuu Ruwaichi kasema hatafanya huu upumbavu, mabaraza ya Maaskofu ncho nyingi za Afrika pia wametoa matamko kwamba hawatafuata,
Nadhani kama mtu ni mkristo kweli ni wakati wa kuungana na hawa maaskofu kuliko kukubali kushindwa mapema
 
Mtaguso unaenda kuguswa. Hawa mabwabwa yananguvu sana, sijui yamewezaje kumshawishi papa. Sasa tunataka papa atokee Afrika.
 
Wooooooooooowwwwww!!!
Wamependezana wenyewe, afu mbna bottom inaonekana mpolee sana, aaah ananiangusha kidawa wangu, inabidi achachuke kdg had padri apagawee.

Weraaaaaa weraaaaaa!!! 4reverrrrrrrrrrrr!!!
Acha usnge mkuu🥺🥺
 
Back
Top Bottom