Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo ndo isue ya kufanya?

mhhutasikia anaongea na wazungu huku akitoa taarifa ya Tz uchumi kukua kwa asilimia 6
Tena kapokea Masaada wa kompyuta 3
Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo ndo isue ya kufanya?
hashauriki-kama unakumbuka-alishajisikia vibaya akiwa jukwaa-ikabidi apumzishwe kwanza-baada ya kuunga safari-na bada ya hapo alikiri kuwa washauri wake walimshauri lakini yeye akagoma-kwa hio inawezekana kabsa akawa anaendekeza hio tabia yakeJana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo ndo isue ya kufanya?
being at home is not a problem-but what he was doing is the problemMsoga ni kijijini kwake, so he was at his home.