Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,482
- Thread starter
- #401
Unazungumzia Pendulum au Pendulum Bob?Nani anajua kuhusu Pendulum? Kifaa ambacho kwa kutumia nguvu ya fikra unaweza kukifanya kika move forward and backward, side to side na kufanya clockwise circle.
Hutumika kujibu swali lolote unalouliza kwa kutoa ishara ya jibu la Ndio au Hapana. Unaweza kutumia kutafuta kitu au mtu aliyepotea.