Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,478
6b25f7a8d3959c9c1113b13695d2bc9a.jpg

Je, Unataka Kupima Nguvu Zako Za Ziada? Mind power? Fanya hivi:
Mahitaji:

1: Sauti Iliosawia Ya Kwako
2: Taa au Mshumaa

Fuata Yafuatayo Utaweza Kuwasha Na Kuzima Mshumaa Kwa Nguvu Ya Fikra Yako...

Maneno Utakayo Taja Nimeyaandika Kiherufi Za Kukaza Na Kuvuta Ziweze Kuachia Nguvu Ya Ndani Yako

Jinsi Ya Kufanya:
Tafuta Mahali Palipo kimya Kabisa Ukifanya Kwenye Fujo Itachukua Muda Mrefu Kufungua Power Zako..

Hii anaweza Kufanya Mtu Yoyote Hata Ambae Hajawa Deep Na Nguvu Zake Za Ziada...

Anza Kwa Meditation Kwa Wale Wanaofanya Meditation Japo Kuwa Sio Lazima..
5a41a7c2cc803e000767c63809c2ac9b.jpg

Tizama Taa Au Mshumaa Wako Kwa Sekunde 20... Hakikisha Unahisi Mahusiano Kati Yako Na Taa Yaani Ujiweke Kuwa Unauwezo Wa Kuendesha Mwanga...

Sasa Sema Maneno Haya:

"Ic Beh? F? Es i? Oht? T cierr on/? Cyrf, gesc? Adnes hit n? Hand mec l? Gel? Oht sw? C?? Hit b? On!"

Jinsi Ya Kutaja:
Ic -ick
Es -bes
T? -et
Cierr -cierr
Mec - mek
Oht -lot
Sw? -swar

Maana Yake Ni:

Nahitaji Hii Taa Iwake/Izime Nipe Mwanga/zimika... ZIMA AU WAKA...

Jitahidi Usikosee Ukikosea itabaki Hivyo Hivyo... Na inaweza kuchukua muda

"This Is The Easy Way To Prove That You Have Powers"
By

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
 
je, unataka kupima nguvu zako za ziada? Mind power? Fanya hivi:
Mahitaji:

1: Sauti iliosawia ya kwako
2: Taa au mshumaa

fuata yafuatayo utaweza kuwasha na kuzima mshumaa kwa nguvu ya fikra yako...

Maneno utakayo taja nimeyaandika kiherufi za kukaza na kuvuta ziweze kuachia nguvu ya ndani yako

jinsi ya kufanya:
Tafuta mahali palipo kimya kabisa ukifanya kwenye fujo itachukua muda mrefu kufungua power zako..

Hii anaweza kufanya mtu yoyote hata ambae hajawa deep na nguvu zake za ziada...

Anza kwa meditation kwa wale wanaofanya meditation japo kuwa sio lazima..

Tizama taa au mshumaa wako kwa sekunde 20... Hakikisha unahisi mahusiano kati yako na taa yaani ujiweke kuwa unauwezo wa kuendesha mwanga...

Sasa sema maneno haya:

"ic beh? F? Es i? Oht? T cierr on/? Cyrf, gesc? Adnes hit n? Hand mec l? Gel? Oht sw? C?? Hit b? On!"

jinsi ya kutaja:
Ic -ick
es -bes
t? -et
cierr -cierr
mec - mek
oht -lot
sw? -swar

maana yake ni:

Nahitaji hii taa iwake/izime nipe mwanga/zimika... Zima au waka...

Jitahidi usikosee ukikosea itabaki hivyo hivyo... Na inaweza kuchukua muda

"this is the easy way to prove that you have powers"
by

rakims

kwa nini ukisema kwa kiswahili mshumaa hauzimi? Hii ni lugha gani na wewe umeitoa wapi?
 
Ha Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeh, umenivunja mbavu mkuu, hii angeipeleka jukwaa la joke kwa sababu sio science hii

its Tech,-technique... Means Its Brain Trick, I'm Talking About Subconsious Power... So If U Wanna Laugh Go To Crzys Chamber...

Rakims
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom