Elections 2010 Wasanii wagawiwa viwanja Mkuranga???

Ashangedere

Senior Member
Aug 9, 2010
119
31
Wana JF naomba kuuliza hii weekend katika pita pita yangu nilisikia wasanii walikuwa wanagawiwa viwanja mkuranga chini ya shirikisho la wasanii lililounda wiki moja iliyopita, redio za mbao zinasema walikuwa wanatoa elfu 60,000 na kadi ya kupigia kura kisha wanapatiwa na walikuwa na usafiri wa mabasi likiwemo lile basi la fie**a, haya ni ya mitaani na sitaki kuyaamini, ila tafadhali mweye taarifa atupatie.

Jana nimeona kwenye taarifa ya habari habari inayofanana na hii, kweli lisemwalo lipo
 
Back
Top Bottom