Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 3,594
- 4,680
Kila mkoa una idadi ya frequency, kama zikishajaa basi unalazimika kwenda mkoa mwingine. Ndiyo maana akina Mjini FM wanapitia kwingine na ofisi ziko Dar.Dada yangu hilo eneo ni field yangu japo sasa nafanya kitu kingine, ila ninacho kizungumza na kijua theoretical mpaka mathematical.
Wewe kama unakubali kudanganywa ni ww, ila Frequency moja haziwezi kuisha wala kuwa mali ya mtu,anaye zimiplan,kuzicontrol,kuzimonitor,kuzimiliki na kuengineer ni TCRA.
Hapo nyuma kuna mtu mmoja, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa kigogo JW, alianzisha redio ya dini na alilazimika kutumia Frequency na Bakwata ili aruke Dar.
Studio zilikuwa pale Al Haramain, ila baadaye kuna mambo alifanya sivyo ndivyo, Bakwata wakaamua kuchukua Frequency zao. Jamaa akaamua kuachana na redio.
Hata Eric Shigongo akiamua kuanzisha redio leo hii, itaruka Dar, kwa sababu ana frequency kitambo za hapo Dar.
Ova