WASAFI FESTIVAL kwa content package mnayodeliver kuna muda mpaka nahisi Teni halitoshi

davejillaonecka

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
652
650
WASAFI FESTIVAL kwa content package mnayodeliver kuna muda mpaka nahisi Teni halitoshi.. package ni kubwa kwakweli.. sema kwa upande wetu mimi na mwanagu tuna enjoy kinoma kwa sababu uwezo wetu ni hiyo teni.. sema kama ya Dar sidhani kama nitakosa ... Sema msipandishe bei bongo.. uzi imeisha
 
Zamani ilikuwa unafunua chupi unakutana na tako ila siku hizi unafunua tako unakutana na chupi(bikini).
 
Angalien pia wadhamini kwenye wasafi festival 23 kuna wadhamini kama 10 hivi na zote ni taasisi au kampuni kubwa
1.Pepsi
2.Airtel
3.Lake oil
4.Tulia Trust
5.Wekeza na Mama Samia
6.Friends of Samia
7.WasafiBet
8.Magic Builders
Na Mengine mawili ambayo majina yake bado sijapata

Sasa chukua mfano kila mdhamini hapo akaweka M20 kwa kila mkoa wanaoenda ongeza na hicho kiingilio cha elfu 10 huoni kama Faida inabaki kwao??

Kiingilio lazima kiwe kidogo ili watu wajae,
Hii itazifanya kampuni (wadhamini) bidhaa zao zionekane kwa watu wengi.

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom