Was Gaddafi right to call for Nigeria to split?

Gadaffi is a good supporter of Al Qaeda so he is just trying to show his support to extremists
 
BBC

My Take:
It reminds me of the stand Nyerere took on Biafra.. was Nyerere also right?

Kama huu ndio msimamo wa Mwalimu basi nadhani alichemsha...

Biafra, Human Rights and self-determination in Africa.

By President Julius Nyerere

nyerere2.jpg


"Tanzania has recognized the State of Israel and will continue to do so because of its belief that every people must have some place in the world where they are not liable to be rejected by their fellow citizens. But the Biafrans have now suffered the same kind of rejection within their state that the Jews of Germany experienced. Fortunately they already had a homeland.

They have retreated to it for their own protection, and for the same reason - after all other efforts had failed - they have declared it to be an independent state. In the light of these circumstances, Tanzania feels obliged to recognize the setback to African unity which has occurred. We therefore recognize the State of Biafra as an independent sovereign entity, and as a member of the community of nations. Only by this act of recognition can we remain true to our conviction that the purpose of society, and of all political organization, is the service of Man."

http://www.usafricaonline.com/nyererebiafra.html
 
-Inashangaza sana kuona mkuu kama huyu anayejifanya kuwa front line ktk United states of Africa analeta au anaandaa mazingira ya kuzidi kuligawa bara la Afrika

Kama Nigeria wamemuuita balozi wao ni safi sana.Huwezi kuwa na urafiki na mtu anayewachochea mzidi kukwaruzana.Siku zote huyu jamaa haaminiki

Ana udini sana huyu mkuu.Pia huwa haangalii madhara ya kidiplomasia

No wonder aliitwa the mad Dog of middle East!
 
Huyu jamaa nadhani sasa anadhihirisha matatizo yake ya akili....sasa alipokuwa anasema afika iwe moja kwani alikuwa hajui kuwa tuna dini tofauti?!!
Kwahiyo baada ya kuungana angeshauri tena tugawanyike Wakristo na waislam?
Huwezi kuwagawanya waafrika eti kwa misingi ya dini.....
 
Hahaha...mtani naona Avatar yako mpya imetia timu.Ina-mesej yoyote???...:D

Back to the business at hand, I agree with you kwamba huyu bwana na
utawala wake wa kiimla hana jipya.

Yah, nimeachana na ile ya why so socialist? ya ndugu yetu Hussein Onyango Obama , watu waliojuu hawataki kulingana na wengine ndio waliona kaa jamaa na proposal zake za Health care zinaileta nchi kwenye socialism ...Wakaamua kumpakazia kila ishu.

Btw, hii avatar ya sasa iko na msg nzito zaidi..lol

Back to the subject, Huyu gullible Gaddafi watu wana-ignore the fact kwamba ana Islamic agenda(divisive) ya aina ile ya zama zile yenye kuleta dhana ya ummah na serikali ya ulimwengu wa kiislamu. Sasa kwanza kuwa na Islamic agenda tu kosa kubwa kwa nchi yeyote achilia mbali bara zima la Africa, maana humu barani kuna mchanganyiko wa kila watu. Hili nililigusia alipoleta misaada kule Kilosa. Niliipinpoint hii ishu kuwa inabidi kuwa makini tunapoji-involve na huyu mtu, kuna watu humu wakapinga lakini wanasahau kuwa zikiibuka ghasia hapa tutakaoumia ni akina sisi the common mwananchis. Akina Gaddafi etal they belong to castles escorted with virgin female bodyguards.

Huyu bwana hana Pan-African agenda na kauli zake kaa hizi zimeonesha alivo munafeeq na jinsi Mwenyezi Mungu hamfichi munafeeq. Huezi kuwa na Pan_africanism wakati huohuo unafikiria kuunda na kutanua dola ya kiislamu.
 
He must be hanged, na ametawaliwa na hypocrisy, anajifanaya anawapenda Waafrica kumbe ni mnafiki tu, dudes laki him now a times are hanged

Yes jamaa ni munafeeq.

Ok one more thing. Unajua kuna waarabu weusi watapinga hili, lakini mi nasema it is best ktk nyakati hizi kumuangalia with open eyes mtu yeyote anayekuja kwa gia ya kidini mfano wa Gaddafi.

Ndio najua Africa kuna umaskini wa kutupa na ndio wengi wetu tuna tamaa, lakini ni ni vema tu-reserve some dignity japo kidogo. Huezi kusikiliza kila asemacho mwarabu kwa sababu tu muislamu mwenzako, you have to have a clear mind ya anacho-propose.

Mwarabu has never been a friend of african, na historia inasema hivo, japo sisuggest tuwachukie bila sababu. One of the great civilazation huko Timbuktu it was brought down its knees by Moroccans, hawa hawakujali kuwa hizi tawala za kiafrica zilikuwa na element za kisilamu, lakini based on their opportunistic minds za ku-control business caravans, it was easy for them to declare Timbuktu, Gao etc kuwa legitimate targets. Ni vema pia tukazingatia ongoing conflicts za makabila ya wenyeji huko Maghreb kama kule Polisario, wa-Berber , Darfur na kwingineko ktk kuzingatia ukweli wa mambo.
 
Agree the less of ghadafi in africa the better...one of the worst leaders around. Mi ni agnostic na najua dini zinaongeza sana matatizo kwenye siasa...Siku moja watu wataona hiyo na macho yao yatafunguka
 
huyo bwana misimamo yake ya kidini iliyo biased kwenye Uislamu inajulikana, maana ilishangaza sana alipofika Uganda pale Kampala kufungua msikiti, mbele ya Waganda akasimama na kutamka kwamba Biblia ni Kitabu cha uongo, ilikuwa ni kauli ya kichochezi mno kwa kiongozi mkubwa kama yeye kutamka maneno ambayo hata wenye nchi hawajawahi kuyatamkasasa kwa upeo wake anadhani anaweza kupenyeza siasa zake za udini Africa nzima
 
He was absolutely right, sometimes its a absurd for continuing witiness massacre while there the best alternative to avoid it.If intensively reserch have been conducted and came out with the suggestion that the only way to avoid unnecessary violence and massacre in Nigeria it to divede it, let us do it for the benefit of our african brothers and sisters.
What is the problem of doing it, are we killing ourselves for the benefit of whom and for who and for what reasons? Nigerians wake up, you have to reliase that politics are too serious matter to be left to the politicians only, by the time most of you become homeless, starving, their children are attending the best schools,eating balance diet and watching moves.
Take a time to think,most of the people who are in the frontline in any violence are the poorer people,they just doing it for the benefit of someone who is sometimes is malicious, Non sense.
 
Sio Gadaffi tu hata Nyerere alisupport Idea ya Biafra kuwa na uhuru wake.
Nigeria History is complicated ni taifa limeugwa ungwa tu. part of this problem is colonial Boundaries. So Gaddafi/Nyerere may be they are right.
 
Wanajamii nisaidieni, muda si mrefu Gadhafi aliitisha Jihad dhidi ya Uswis. Haujapita muda mrefu, juzi juzi ametaka Nigeria igawanywe kati ya waislam na wakristo. Wakati akiwa mwenyekiti wa AU, alitaka afrika iwe nchi moja. Mnadhani falsafa ya huyu mzee ni sawa na ya akina Nyerere na Nkruma?
Kwa mfano huu wa Gadhafi kuna uwezekano wa Afrika kuungana? Au wanasiasa wanatudanganya, ili waendelee kujinufaisha na kodi za wananchi!
 
MKJJ,

Hebu nawe tupe matukio yanayotokea huko Nigeria na pia tu muhukumu Gadafi kama amekosea kwa usemi wake huo wa kutaka Nigeria igawanyike au no,

Mwanzoni nilidhani kama kweli kakosea ila sasa hii issue naiona ina utata ndani yake sasa, I think we need facts even if is physical evidence sawa, maana kuna sehemu nimepitia nikaona what is happen to Nigerian its terrible kabisa ni bora sodoma na gomola kweli
 
Muamar al Qud'haffi ni kiongozi wa kiimla ambaye hakwenda shuleni. Hivo mkianza kumu-overanalyse itakuwa ni kupoteza muda wenu tu.

The dude is totally a dumb-bell

Nafikiri bado hujapata nafasi na muda ukasoma falsafa za huyu Mzee, au ukapata nafasi ya kutembelea katika nchi yake, katika bara la Afrika Libya iko juu sana katika huduma za kijamii,

Unaweza ukakosoa na ukaonesha kwamba Gadafi hana maana lakini kumbe ukawa umekosa hoja kwa sababu tu huna taarifa za kutosha juu yake, au unaongozwa na taarifa za kimagharibi zaidi.
 
Muamar al Qud'haffi ni kiongozi wa kiimla ambaye hakwenda shuleni. Hivo mkianza kumu-overanalyse itakuwa ni kupoteza muda wenu tu.

The dude is totally a dumb-bell

Nimekupata unahitaji taarifa sahihi tafuta njia nyengine badala ya kutegemea vyombo vya kimagharibi vikupe taarifa,
 
Balozi wa Nigeria nchini Libya arejea nyumbani.

Nigeria imemwamuru balozi wake nchini Libya, arejee nyumbani kufuatia matamshi ya rais Muammar Gaddafi, aliyopendekeza taifa hilo ligawanywe mara mbili, moja ya wakristo na nyingine ya waislamu.
Wizara ya mambo ya nje ya Nigeria imetaja matamshi hayo ya Gadaffi, kama ya uchochezi. Rais wa bunge la senate nchini Nigeria, David Mark amesema, rais Gadaffi ni mtu asiyekuwa na akili timamu.
Mapema wiki hii kiongozi huyo wa Libya, alisema njia ya pekee ya kusitisha mauaji ya raia nchini Nigeria ni kuigawa nchi hiyo kuwa mataifa mawili.
Mamia ya watu wameuawa katika siku za hivi karibuni nchini Nigeria kufuatia ghasia za kidini na kikabila katika jimbo la Plateau kati kati mwa nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom