Was Gaddafi right to call for Nigeria to split?

Nimekupata unahitaji taarifa sahihi tafuta njia nyengine badala ya kutegemea vyombo vya kimagharibi vikupe taarifa,
Nahitaji taarifa sahihi kuhusu nini shekhe..Kwamba Gadafi ni gullible au ni kiongozi wa kiimla aliyeingia madarakani kwa mtutu wa bunduki kama sio kifaru? Hebu specify basi nikuchukulie serious.
 
Nafikiri bado hujapata nafasi na muda ukasoma falsafa za huyu Mzee, au ukapata nafasi ya kutembelea katika nchi yake, katika bara la Afrika Libya iko juu sana katika huduma za kijamii,

Unaweza ukakosoa na ukaonesha kwamba Gadafi hana maana lakini kumbe ukawa umekosa hoja kwa sababu tu huna taarifa za kutosha juu yake, au unaongozwa na taarifa za kimagharibi zaidi.

Nilishasoma glimpses za Green Book, lakini nililoose interest immediately.

Mh sasa huduma za kijamii zinaingiaje hapa wajameni? Kujibu post bila kuelewa ni ukosefu wa taarifa sahihi au akili sahihi?
 
Naona hapa mna mcrucify Gaddafi,lakini mwanakijiji kauliza je NYERERE alipo support taifa jipya la Biafra,was he right? To me it seems its just two diffrent sides of the same coin.
 
kwa sababu ukweli ni kuwa Nigeria hawawezi kuishi pamoja katika mazingira haya. Lakini ukiangalia tofauti ya Nigeria na ya Zanzibar ya kwetu ni rahisi zaidi lakini huku kwetu watu hawajitokezi kutetea Muungano wetu lakini wako tayari kuuvunja kwa sekunde moja tu!!
 
funny sio ndo huyu Gadafi anaetaka Africa tuungane???????????

Huyu Gadafi linapokuja sala hilo sio wa kumuamini kabisa. Kwani mmesahau ya Nduli? Yaani hawa watu wangefurahi zaidi kama dunia yote ingekuwa na Isalms labda na unaweza kukuta katika mgogoro wa Nigeria watu kama wakina Gadafi wanasponsor mfarakano huo


March 20 10 Gaddaffi on Nigeria.jpg

Mnakumbuka maneni ya mwalimu kuhusu dhambi ya kujitenga?
 
Nyerere alipokuwa ana-support Biafra ijitenge sijui naye alikuwa hana akili timamu.
 
Gaddafi = Nyerere

Nyerere + Gaddafi = UJAMAA

Tofauti ni kuwa mmoja yu hai na mwingine keshakufa.
 
Gaddafi = Nyerere


Nyerere + Gaddafi = UJAMAA

Tofauti ni kuwa mmoja yu hai na mwingine keshakufa.

Hivi unaweza kufananisha Dr. Nyerere na Kadhafi?

Is Ujamaa = to intergral of Julius and Muhammar? That is sick, very sick.
 
Gadafi ni gaidi, mpinga kristo aliyesema angekuwa na uwezo angeipoteza kabisa Bible. this is the same guy aliyesaidia idi amin dadaa kuivamia tz, na baada ya hapo akahamasisha mgomo wa mafuta dhidi ya tz kwa nchi za kiarab, tz ilishuka sana kiuchumi kipindi kile kama mnakumbuka. huyu ndo anayehamasisha jihad dhidi ya waswiss kwa kitu cha kifamilia yake tu ati walimkamata mtoto wake, this guy ni mtu mbaya sana, iinterestingly, ni rafiki yake na mkuu mmoja wa hapa nchini, sitamtaja jina.
 
Nyerere, Mroman Catholic, Rais wa Kwanza wa Tanzania, alipotambua kujitenga kwa wa Ibo, Waroman Catholic wa Biafra ya Nigeria hiyo hiyo, huku akitaka muungano wa Afrika, alikuwa shujaa.

Gadhafi, Muislamu, Rais wa kudumu wa Libya, anapotaka kujitenga kwa Waislamu na Wakristo wa Nigeria, huku akitaka muungano wa Afrika, anakuwa, mwehu. lol.

Ni kweli, mtu hawezi kuwa refarii na mchezaji wakati huo huo. Inaelekea udini na ukabila hauwezi kwisha. Lakini ni lazima tujue, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Mwaka 1947
India na Pakistani zilitengana kwa misingi ya dini na bado wanauwana hadi leo.
 
BBC

Nigeria has recalled its ambassador to Libya after leader Muammar Gaddafi suggested Nigeria be divided into two states - one Christian and one Muslim.

The foreign ministry said the Libyan leader's statement was "irresponsible". Earlier in the week a senator had called Col Gaddafi a "mad man".

Col Gaddafi had suggested the split to prevent any more bloodshed between rival groups in central Nigeria.

Hundreds have died this year in ethnic and religious violence around Jos.

Although the violence in Nigeria generally takes place between Muslim and Christian communities, the underlying causes are a complex mix of political, social and economic grievances.

Nigeria is roughly split between its largely Muslim north, and a Christian-dominated south.

In a statement, the foreign ministry said it was recalling its Tripoli ambassador for "urgent negotiations" because of the "irresponsible utterances of Colonel Gaddafi".

"His theatrics and grandstanding at every auspicious occasion have become too numerous to recount," said the statement.

Col Gaddafi, until recently head of the African Union, praised the partition of India in 1947 as the kind of "historic, radical solution" that could benefit Nigeria.

Splitting India in 1947 caused a breakdown of law and order in which at least 200,000 people died. Some estimates say one million people were killed.

About 12 million people were left homeless and thousands were raped.

An attempt by the Igbo people of south-eastern Nigeria to secede in 1967 sparked a war which left more than one million people dead.



My Take:
It reminds me of the stand Nyerere took on Biafra.. was Nyerere also right?
sometimes you feel like being threatened and kwa hili gadafi is real a threat katika maisha ya kawaida ya biandamu halkafu anadai anataka Afrika moja au labda kwa kubomoa nchi moja. I dont like him hata kama petro doller inampa kiburi na uwezo wa kusaidia watu wake
 
Mnafikiri Nigeria ilivyo sasa inaweza kudumu na watu wake wote wakaishi katika amani, umoja na utulivu? au ndio wajifunze kuishi katika wasiwasi wa kulipizana kisasi kila inapowezekana? Hivi ikittokea mkisikia mauaji mengine ya mamia yametokea mtashangaaa?
 
Hivi kijigrafia Nigeria hii tunayoizungumzia sasa ina wastani wa idadi watu wangapi waamini wa hizi dini tofauti? Na maeneo wanaomiliki yana ukubwa sawa? Nauliza hivi kwa kuwa hata wakiamua kujitenga unaweza kukuta wakaendelea kugomba kuwa mwingine amechukua eneo kubwa, lenye utajiri na vitu kama hivyo.

Tunajua ni tofauti ya dini ni chanzo cha mgogoro lakini kiini ni nini hasa, je ni tofauti ya dini tu mbona kuna sehemu nyingi watu wanaishi na tofaurizao nyingi tu bile mikwaruzano?
 
Katika kutafuta background ya mgogoro huu leo nimepata nafasi ya kuongea na jamaa yangu ambaye ni Mnigeria. Alichonambia kwa structure nzima ya issue hii ilivyo ni kuwa South waliko wakristo wengi ndo kuna mafuta huko na North ambako ni vice versa yake. Hata kielimu South wameendelea zaidi ya North so unapotaka kuwatenganisha hawa watu ni kazi sana kutokana na vyanzo hivi vya utajiri.


Pia ingawa hizi sehemu mbili zinaonekana kama ni za dini hizo tofauti lakini ukweli itakuwa ni ngumu kutenganisha kwani kuna minorities wa hizi groups wanaoishi pande zote mbili so ukiwatenga hawa itabidi wahame na kuhamia upande wa imani yao?

Na leo nimegundua kuwa hakuna nchi inayoendesha kibepari kama Nigeria wenye hela ndo wenye nguvu can you imagine nchi yenye utajiri mkubwa mafuta eti watu wake wanatatizo la umeme wa Taifa?
 
Hivi kijigrafia Nigeria hii tunayoizungumzia sasa ina wastani wa idadi watu wangapi waamini wa hizi dini tofauti? Na maeneo wanaomiliki yana ukubwa sawa? Nauliza hivi kwa kuwa hata wakiamua kujitenga unaweza kukuta wakaendelea kugomba kuwa mwingine amechukua eneo kubwa, lenye utajiri na vitu kama hivyo.

Tunajua ni tofauti ya dini ni chanzo cha mgogoro lakini kiini ni nini hasa, je ni tofauti ya dini tu mbona kuna sehemu nyingi watu wanaishi na tofaurizao nyingi tu bile mikwaruzano?
Nigeria Population- 2009 estimate 154,729,000

Nigeria is home to a variety of religions which tend to vary regionally...

The largest religions of Nigeria are Islam and Christianity

Based on a 2003 survey, 50.5% were Muslim, 48.2% were Christian (15% Protestant, 13.7% Catholic, and 19.6% other Christian)
 
Back
Top Bottom