Warrant au Guarantee?

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Wanasheria jana nilikuwa sehemu na bugia maji ya ilala ukazuka ubishi meza ya jirani kuhusu neno original na genuine na pia kuhusu neno warrant na genuine.
Original na genuine linaweza kuwa la kisayansi zaidi lakini ubishani mkubwa ulikuwa ni je ukinunua lets nokia original unapewa warrant au unapewa garantee.

je nini tofauti yake?
 
Back
Top Bottom