ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 538
Juzi kati niliona watu wakishabikia bank ya crdb kuleta simbanking, Napenda kuwataarifu kinachoendelea sasa hvi...wateja wanaibiwa sana kupitia hii huduma yao ya cardless, wanaiba card numbers(atm card numbers zile zilizoandikwa juu ya atm card) za watu(dont ask me how) then wanaenda kurejister kwenye sim zao wanajitengenezea pin na wanahamisha mpunga na kuutolea kwenye atm through cardless service. kuweni makini jamani....
jah bless!!
jah bless!!