Warning....

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Juzi kati niliona watu wakishabikia bank ya crdb kuleta simbanking, Napenda kuwataarifu kinachoendelea sasa hvi...wateja wanaibiwa sana kupitia hii huduma yao ya cardless, wanaiba card numbers(atm card numbers zile zilizoandikwa juu ya atm card) za watu(dont ask me how) then wanaenda kurejister kwenye sim zao wanajitengenezea pin na wanahamisha mpunga na kuutolea kwenye atm through cardless service. kuweni makini jamani....

jah bless!!
 
Tuweke wazi, inakuwaje kwani pale iniahitajika Card number, Account namuner, na Pswd ya ATM.

Sasa je, vyote hivi wanavipataje??

Tupe ufafanuzi tuchukue tahadhari.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
mambo yote yanapigwa pale kwenye atm, unajua watu wengi sana huwa wanauliza watu wa nje wanapokwama kufanya kitu flan kwenye atm, atavunga kama anakusaidia then ataipata pin, kuhusu acct number na card number vyote vipo kwenye card so sio isue kabisa.
 
Back
Top Bottom