warning virusi hatari vya java. Kua makini ant virusi haitakusaidia

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,715
39,801
juzi usiku wakati nabrowse nkashangaa ghafla java runtime inarespond then hapo hapo ika crash halafu program za startup zikajifunga zote including antvirus na kila nikiiopen antvirus inakataa nkadownload ant virus nyengine nkatoa ya mwanzo (thanx to revo maana hata remove program ya contorl panel ilikua haifany kazi). Hata hio ant virus nyengine pia ikafeli

Computer ikaendelea kua slow mpaka ikaacha kufanya kazi ikabidi niingie kwa safe mode na kurestore week ago then nkainusuru pc yangu.

Warning ndugu zangu hackers wamegundua upenyo kwenye java na kuweza kuingiza virusi na malware kwa both pc za window na mac hakuna alonusurika. So uwe makini na ikiwezekana disable java kabisa.
 
Hivi Chief ipads huwa nazo zinashambuliwa na virus?
 
Yani kikawaida jamaa wapo vizuri mfano kila kitu unatoa itunes ni safe si rahisi upate virusi so tunaweza sema ipad haina virusi

Lakini sio 100% safe kua eti device yako ya ipad haitaathiriwa na virusi kwa sababu kuna watu wajanja watakutegea tu sehemu nyengine mfano kwenye website and then ukiclick tu kitu fulani basi unawapata

Na mtu mwenye risk kubwa ni yule alie jailbreak.

Incase kama umepata attack yoyote solution ipo hapa

Information about Ipad Virus and solutions | Ipad Virus
 
No sijawa attacked, nimeuliza tuu. Thanks

Lakini simu za nokia nazo jee?
 
Nokia wapo virusi wengi tu na symbian ndo ilikua os yenye virusi wengi zaidi sema mwaka huu android amemshinda nokia kwa virusi so ni wa 2 nokia kwa virusi
 
Da!Kwa hiyo kumbe nokia yangu ambayo naitumia kwa internet iko kwenye risk niache!
 
Ahsante kwa taarifa hii, amahakika kila software ina upenyo wa virus. Ni suala lamuda tu kugunduliwa na hackers
 
juzi usiku wakati nabrowse nkashangaa ghafla java runtime inarespond then hapo hapo ika crash halafu program za startup zikajifunga zote including antvirus na kila nikiiopen antvirus inakataa nkadownload ant virus nyengine nkatoa ya mwanzo (thanx to revo maana hata remove program ya contorl panel ilikua haifany kazi). Hata hio ant virus nyengine pia ikafeli

Computer ikaendelea kua slow mpaka ikaacha kufanya kazi ikabidi niingie kwa safe mode na kurestore week ago then nkainusuru pc yangu.

Warning ndugu zangu hackers wamegundua upenyo kwenye java na kuweza kuingiza virusi na malware kwa both pc za window na mac hakuna alonusurika. So uwe makini na ikiwezekana disable java kabisa.
Duh mpaka Mac? asante mkuu kwa taarifa.
 
guys kama utakuwa na mozilla latest version utakua umeletewa notification kua java sio trusted program. Sasa sijui mipango ya google hii.
 
Back
Top Bottom