Warioba: Wananchi tunaowaita Wanyonge ndio wenye nchi, Katiba ni kipaumbele hata kwenye marekebisho Bungeni

Msimamo THABITI wa Mzee Warioba kuhusu madai ya Katiba mpya ndiyo sababu kama Waziri Mkuu Mstaafu hakujumuishwa katika ule msafara wa wastaafu wenye UNAFIKI katika kudai katiba mpya. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na maisha marefu ili hivi karibuni ushuhudie matunda ya Tume yako.
Namna ambavyo ameongea huyu mzee ndio ambavyo Mbowe na genge lake walitakiwa waoneshe ukomavu wa aina hii sio kutoa maneno ya sokoni kwenye midia๐Ÿ˜…
 
Watambambikia kesi chokochoko zake ni UCHOCHEZI wa kutaka kuleta vurugu nchini hivyo kupewa house arrest 24/7 au hata kutupwa lupango.
Kwa huyu mzed haiwez tokea! Ni zao la CCM mama ana aibu kidogo
 
Nchi ngumu hii,

Watu wanataka kubadili Katiba ambayo hata hawaifahamu...
Itakuwa na upuuzi fulani. Tume ya katiba ya Warioba iliundwa na CHADEMA? Au wakati wa Tume ya Katiba ya Warioba ulikuwa chekechea?
 
Ambaye hataki kusikiliza matakwa ya wananchi ya kupata katiba mpya, ni mwovu na anahatarisha amani ya nchi.

Wakati wa Tume ya Warioba, wananch walisema wanataka katiba mpya.
 
Kipengele kimojawapo cha katiba ni wabunge wa viti maalum. Katiba mpya inapaswa kuondokana na wabunge wote wasiochaguliwa na wananchi...
Haya ndiyo unaona ni kero za wananchi? Basi?
 
Ambaye hataki kusikiliza matakwa ya wananchi ya kupata katiba mpya, ni mwovu na anahatarisha amani ya nchi.

Wakati wa Tume ya Warioba, wananch walisema wanataka katiba mpya.
CCM wamegeuza nchi ni mali yao, huyu maza kama hataki katiba mpya arudi kwao Zanzibar
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi.

Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya...
Huyu Mzee nae msaka tumbo tu na mbona hakuonekana SGR na wenzake na mamvi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndipo ujinga wetu waTz ulipo mtu akitaja tu katiba ni lazima irekebishwe tayari wanamuamini.

Huyu warioba kaishi na hito katiba kwa muda mrefu na ameitumikia kwanini hakujiuzuru kuwa katiba haifai?...
Kila zama na nyakati zake. Ni muda muafaka wa katiba mpya na hilo kila mtu analiona hata waliokuwa viongozi kipindi cha nyuma. Hivyo Warioba ana haki ya kusema kuna umuhimu wa katiba mpya sasa. Hili halikwepeki.
 
Back
Top Bottom