warembo wa JF mnataka father-xmas niwapatie zawadi gani???happy holiday season to you all

Mi nataka tutoke.

sasa wewe ndio umechagua zawadi nzuri kuliko wooote............................!
images

unaonaje tukienda hapa nikishamaliza kugawa zawadi........................!
 
Gunia la pesa, na sio Dollar za Zimbwabwe, nataka TZS.

hakuna shida............kujaza gunia kwa noti za sh mia mia haimsumbui faza...........................!kuna kingine....................!
 
thanx fatherxmas,nawe pia.
mim naomba hii hapa
images
na hii hapa

duuuu cheusi unaonaje upate hicho kibegi xms hii................then faza ajikusanye xmas ya 2018 ndo upate hiyo saa............maana nimecheck nayo walivyonitajia bei ya hiyo saa nikapoteza fahamu ghafla...............!!!!!..................!!!!
 
Jamani mi nataka Fatha Klithmath unipe dhawadi ya.....ya......ya LOLLIPOP.

ho ho ho beutiful wish from a beatiful girl..................!faza will buy a special lollipop for you..................!!
 
karolaiti plz....nazingatia mng'aro kwanza....hasa kipindi hiki

preta acha kumtania faza............unajua hawezi kukupatia hiyo kitu.......unaonaje ukipata hii instead...............
images
umechishie na hiii...............
images
na hii.................
images
halafu nikufuate na .................
images
halafu nikupeleke hapa tukapate chakula...........
images
 
vingine tu PM tukusaidie Father Xmass.. Ukiona stock ya money inadeplete![/QUOTE]


it wouldn`t..........faza is loaded...................!asante kwa moyo wa kujitolea lakini............happy holidays......................!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom