Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,510
ni kawaida yangu kutisha....................happy hanukkah........................!
Happy Kwanzaa!
ni kawaida yangu kutisha....................happy hanukkah........................!
any time that will fit you.............. will fit faza as well....................!When father X mas???
Happy Kwanzaa!
sasa wewe ndio umechagua zawadi nzuri kuliko wooote............................!
unaonaje tukienda hapa nikishamaliza kugawa zawadi........................!
waooh! Halafu faza sina nguo za skukuu.
fatherxmas can i get
Finally Queenkami has come back to JF!
Where in the world have you been hiding?
Klorokwini hebu njoo huku umsalimie Queenkami.[/QUOTE]
mbona unamuita klorokwini and who is she/he?
kwani wewe hupendi kunisalimia hadi umuite huyo?
I can see u r happy to see me.
mbona unamuita klorokwini and who is she/he?
kwani wewe hupendi kunisalimia hadi umuite huyo?
hiki
Habari za huko ulikokuwa Queenkami? Wote wazima?
Kumbe hicho ni Laki tatu tu? kuna mtu inabidi arudishe chenchi aisee...
mkuu samora,
kabla hujamdai chenji inabidi uwe una uhakika kama ni vya brand moja,
vinaweza kufanana lkn kimoja kikawa rahisi na kingine ghali.
Ubarikiwe!
mie nitatoa order yangu kesho
Lkn mi sijajibiwa! Au mi si mrembo hp JF?
....................[/QU sasa father,mbona heleni hazipo,namaanisha ear rings,niwahishie manake nataka kl ntakachovaa siku hiyo vifanane.
....................[/QU sasa father,mbona heleni hazipo,namaanisha ear rings,niwahishie manake nataka kl ntakachovaa siku hiyo vifanane.
duuuh............nilidhani lipsticks...........sasa ndo ujue sio rahisi kuwa fazaxmas...........lkn hakijaharibika kitu.............!hizo lipsticks itabidi umpatie Preta...............nataka apake pink lipstick tuone kama atapenda kama ile red inamvyompendeza..............!