Warembo Viwango Approved By Allien

Bria_Myles_029.jpg
 
nimetathmini weeeeeeee.
nikaona unapenda dizaini za macelulite kimtindo.......lakini ni warembo......sijasema ni wazuri....usije ukamix.....
 
Aisee Allien ee hii picha ya Dem wangu umeitoa wapi ulimpiga lini? nimepekua kwenya kabat ya nguo zake hiyo nguo aliyopigia picha sijaiona ilikuwaje Comrade
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom