Madanguro yaliyoboreshwa: Biashara inayokua kwa kasi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
MADANGURO YALIYOBORESHWA; BIASHARA INAYOKUA KWA KASI

Anaandika, Robert Heriel

Wanasema mjini mipango, hesabu akilini jasho peleka shambani.
Mjini kuna biashara nyingi Sana, biashara ya umalaya, ushoga na usagaji ikiwa ni miongoni mwa kazi za Mijini. Licha ya kuwa Dini imekataza mambo hayo na pengine Kwa baadhi ya nchi ni kosa la jinai Kwa kazi hizo lakini bado baadhi ya watu wameamua kukomaa na kazi hizo za kutia kinyaa.

Ungana na Taikon katika kuangazia Kwa uchache biashara hii ambayo kadiri siku ziendavyo inazidi kushika hatamu.

Danguro/Madanguro
Ni sehemu au nyumba au makazi wanayoyatumia Malaya kufanyia umalaya au kazi zao za kimalaya.
Madanguro hayakuanza Zama za leo. Yalianza tangu kipindi cha Yakobo, Suleiman na Yesu Mnazareth.

Hata hivyo Lazima tujue kuwa Umalaya ni shughuli aifanyayo mwanamke Kwa kuutumia mwili wake kingono Kwa ajili ya kujipatia faida au maslahi kama Pesa, kazi, au Mahitaji yake.

Kwa dunia ya sasa ni takribani 90% ni Malaya kwani wengi hufanya tendo la ngono ili kujipatia Jambo Fulani hasahasa Pesa. Ingawaje wengine Watasema huo ni Ukahaba na sio umalaya lakini Visawe hivyo viwili vinarejelea maana Ileile moja.

Zamani ilizoeleka kuwa madanguro ni maalumu kwa ajili ya Wanawake wanaojiuza lakini siku hizi mambo yamebadilika kidogo, hata wanaume mashoga siku hizi wanamadanguro yao.

Aina za Madanguro
1. Nyumba za kupanga
2. Kumbi za Starehe kama Casino, Club, n.k
3. Ofisi za Massage
4. kufanya Party kwenye Boat au meli ya Kukodisha

1. Nyumba za kupanga
Hii inatumiwa na Wadada wengi wa mjini. Mdada anapangisha nyumba nzima, labda ni Sinza, au Mbezi Beach au nje kidogo ya mji kama Goba, Tegeta. Kisha anatafuta wateja wake. Atatumia mbinu zifuatazo kupata wateja wake:

i. Atakuwa anatembelea Maeneo ya starehe au kujipumzisha kama Beach, Hotelini, Mall etc.
Akiwa kapendeza. Lazima kuna atakayejichanganya atakayeomba namba. Vetting yake sio ya kitoto. Muonekano wa mtu tu utamjulisha kuwa huyu anapesa au hana. Kisha mengine yote yatafanyika kwenye simu.

Aidha ajifanye anaishi Kwa shangazi yake(rafiki yake) ili akuombe umpe pesa akapange, kisha atachukue hiyo pesa ya kupanga kumbe tayari alishapanga, au akuambie mume wake amesafiri akukaribishe kwake, ili usimgande.

2. Atatumia Mitandao kama Tiktok au Instagram kujipromoti Kwa ku-post picha za kuvutia au video zinazoonyesha uzuri wa maumbile yake. Hapo wapo wataoingia Inbox atafanya usahili watakuja kwake Kwa kanuni Ileile kuwa ameolewa mume katoka nje ya nchi na au nje kikazi, au akuambie umpe hela akapange.

3. Ataenda Gym
Atachagua Gym zenye viwango ambazo hutumiwa na watu wenye vipato vya uhakika. Lakini atakuwa ni mtu wa kuhama Hama Gym kila atakapopata mteja au wateja zaidi ya watatu WA Gym moja.

4. Atatumia Makuwadi
KAZI ya ukuadi Mijini ni KAZI inayolipa Kwa Vijana wengi kuliko hata madaktari walioajiriwa. Kama unabisha endelea na ubishi wako.

Watu wengi wenye pesa hawana huo muda wa kutafuta wanawake au kuingia kwenye inbox za Warembo. Wapo watu wenye kazi hiyo.

Aina za Makuwadi
1. Kuadi wa Foreigners
2. Kuadi wa Raia wa Tanzania.

Jiji la Dar es salaam, Zanzibar, na Arusha linatembelea na Experts wengi kutoka nje ya nchi. Tunafahamu kuwa Mwanaume kamili hawezi kukaa muda mrefu bila ya kufanya ngono. Hivyo Hawa Experts huwatumia Makuadi/Madalali wa kuuza wanawake Malaya au mashoga ili kuridhishwa kingono.

Wasanii wa Muziki na Maigizo wamekuwa sehemu kubwa ya kiwanda cha kuzalisha makuadi, hata hivyo wapo Tour Guide, Hotel attendants nao hujikuta katika Kazi ya ukuadi kwa foreigners.

Viongozi wakubwa wa nchi na wafanyabiashara wakubwa wa nchi pia kamwe hawawezi kuhangaika kutafuta wanawake warembo. Wanakuwa na vijana maalumu wa kufanya kazi hizo. Wao ni Kupiga simu tuu kuwa wamemuona mrembo Fulani au kumtumia picha kuadi kuwa unamjua huyu mrembo, kisha Oda inatolewa atafutwe Kwa gharama yoyote. Bajeti inapangwa mrembo anawekwa mtu Kati.

Hii inafanya Makuadi kuheshimiwa Sana na Wanawake Malaya wa level ya kitaifa au kimataifa. Kwani wao ndio hupendekeza majina ya warembo Kwa matajiri.

Sio ajabu ukaona kwenye hii nchi yetu kuna Vijana wanafanya mambo ya ajabu lakini wanaheshimika na kuheshimiwa na baadhi ya warembo mashuhuri, hii ni kutokana na kuwa wao ndio kama Mawakala au Supervisor katika Kazi zao.

Wanawake wengi Sana siku hizi utashangaa wamepanga nyumba za gharama lakini kazi wanazozifanya hazieleweki. Sio hao tuu msijesema nawakandia pekee Yao.

Wapo na vijana wakiume wamepanga jumba kubwa la kifahari ambalo Kodi Kwa mwezi ni milioni Moja mpaka milioni mbili lakini hawana kazi ya maana.

Wengi wao ni mashoga, au wanafanya biashara tata ambazo Kwa nje hujifanya wanafanya shughuli Fulani labda ni Kuuza Duka la nguo.

2. Kumbi za STAREHE
Hili wala sina haja ya kulielezea kwani linafahamika fika. Madanguro ya kwenye kumbi za STAREHE yamegawanyika.

Yapo makasino Local, na yapo international ambayo hapa ni watu wa mataifa tofauti, na pesa inayotumika na Dola.

Kima cha chini kikawaida ni USD 100 Kwa saa moja.

Kama nilivyosema hapo juu, kupata kazi hiyo ya umalaya kwenye makasink ya namna hiyo kunahitaji pia Connection, uzuri wa mwanamke pekee hautoshi. Hapo ndipo makuadi hupata kazi na nguvu katika sekta hiyo ya kishetani.

Mwenye Casino atatafuta kijana au mwanamke ambaye kazi yake ni kusajili warembo wakali Kwa ajili ya kazi ya umalaya kwenye hiyo Casino.

Connection ya Malaya ndio itaamua jeuri yake hapa mjini na wala sio uzuri wake.

Connection ya Malaya ikiwa ni heavyweight sio ajabu mwanamke Malaya akawa anawaletea jeuri hata baadhi ya maaskari au Wafanyakazi wengine.

Hata hivyo Malaya wa namna hiyo huwa kwenye kundi la Malaya Local.

3. Ofisi za Massage
Ofisi hizi huwa na Aina mbalimbali ya huduma, zipo Huduma za wazi na zipo Huduma za Faragha.
Ingawaje kazi ya Masaji inaweza kuwa kazi Kama KAZI zingine lakini uwepo wa Malaya Kati kazi hiyo kunaingiza dosari katika Kazi hiyo.

Baadhi ya Malaya hasa wenye exposure ya Dunia au waliowahi kutoka nje ya nchi wameshika soko Hili au wameungana na Foreigners kuanzisha biashara hii ambayo kila Aina ya masaji inabei yake.

Bei ya kawaida ya masaji ni Dola 200 Sawa na pesa ya kitanzania laki Tano na ushee. Hata hivyo zipo masaji Locally ambazo bei zake ni Tsh 70,000 kuendelea.

Wageni wengi hasa jamii za Kihindi na kichina hupenda zaidi kutumia njia ya huku kuliko zile za Casino au Club.
Hata hivyo wapo Waafrika wengine Kama Wanaijeria, Waghana, Wakenya, Wajamaica ambao soko hilo wameliteka Kwa lengo la kuwahudumia jamii za Wazungu.

Hapo ukihitaji Huduma ya ngono utapata na bei utapewa. Au utachukua namba za simu kisha mengine yataendelea.

4. KUFANYA PARTY KWENYE BOAT AU MELI ZA KUKODISHA.
Mjini kuna mambo mengi Sana, miji iliyoko karibu na Bahari kama Zanzibar, Dar, Mombasa kuna madanguro ya namna hii.

Mara nyingi kuna kuwa na vikundi vya wanawake watupu, Kama uliwahi sikia Sijui Women party au sijui Superwomen Party au Party za namna hiyo. Kuna kuwa na vikundi vya wanawake hasa Wale mashangingi wa mjini ambao baadhi Yao ni wasomi. Wanaomba Sponsor ya pesa nje ya nchi Kwa kufanya sherehe za ku-empower wanawake hiyo ndio huitumia kama Agenda lakini agenda ya Siri ni biashara zao za kihunihuni.
Watakodi Boat kisha Party itafanywa usiku baharini.

Hapo kuna watu spesho wanaume watakuwa wamealikwa, wanaume matajiri wenye pesa. Kisha biashara itaendelea.

Biashara za hivi mara nyingi sio maarufu, na hazitakiwi kuwa maarufu kwani ni biashara Tata ambazo wengi wateja wake hawapendi kujulikana, hivyo wafanyabiashara hizo wanalinda Faragha za wateja wao.

Kwa kumaliza, wazazi tuwalee watoto wetu katika njia iwapasayo ili wasijejikuta katika mitego mibaya Kama hii.

Kama mzazi Kama binti yako hajaolewa na Hana kazi usimruhusu kwenda kupanga, ni rahisi kujiingiza kwenye maasi Kama hayo.

Nipumzike sasa;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Nairobi
 
MADANGURO YALIYOBORESHWA; BIASHARA INAYOKUA KWA KASI.

Zamani ilizoeleka kuwa madanguro ni maalumu Kwa ajili ya Wanawake wanaojiuza lakini siku hizi mambo yamebadilika kidogo, hata wanaume mashoga siku hizi wanamadanguro Yao.

Aina za Madanguro
1. Nyumba za kupanga
2. Kumbi za Starehe kama Casino, Club, n.k
3. Ofisi za Massage
4. kufanya Party kwenye Boat au meli ya Kukodisha

1. Nyumba za Kupanga.
Hii inatumiwa na Wadada wengi WA mjini. Mdada anapangisha nyumba nzima, labda ni Sinza, au Mbezi Beach au nje kidogo ya mji kama Goba, Tegeta. Kisha anatafuta wateja wake.
Atatumia mbinu zifuatazo kupata wateja wake;

i. Atakuwa anatembelea Maeneo ya starehe au kujipumzisha kama Beach, Hotelini, Mall etc. Akiwa kapendeza. Lazima kuna atakayejichanganya atakayeomba namba. Vetting yake sio yakitoto. Muonekano wa mtu tuu utamjulisha kuwa huyu anapesa au Hana.

Kisha mengine yote yatafanyika kwenye simu.

Aidha ajifanye anaishi Kwa shangazi yake(rafiki yake) ili akuombe umpe pesa akapange, kisha atachukue hiyo pesa ya kupanga kumbe tayari alishapanga, au akuambie mume wake amesafiri akukaribishe kwake, ili usimgande.

2. Atatumia Mitandao kama Tiktok au Instagram kujipromoti Kwa ku-post picha za kuvutia au video zinazoonyesha uzuri wa maumbile yake. Hapo wapo wataoingia Inbox atafanya usahili watakuja kwake Kwa kanuni Ileile kuwa ameolewa mume katoka nje ya nchi na au nje kikazi, au akuambie umpe hela akapange.

3. Ataenda Gym
Atachagua Gym zenye viwango ambazo hutumiwa na watu wenye vipato vya uhakika. Lakini atakuwa ni mtu wa kuhama Hama Gym kila atakapopata mteja au wateja zaidi ya watatu WA Gym moja.

4. Atatumia Makuwadi.
KAZI ya ukuadi Mijini ni KAZI inayolipa Kwa Vijana wengi kuliko hata madaktari walioajiriwa. Kama unabisha endelea na ubishi wako.

Watu wengi wenye pesa hawana huo muda wa kutafuta wanawake au kuingia kwenye inbox za Warembo. Wapo watu wenye kazi hiyo.
Aina za Makusudi
1. Kuadi wa Foreigners
2. Kuadi wa Raia wa Tanzania.

Jiji la Dar es salaam, Zanzibar, na Arusha linatembelea na Experts wengi kutoka nje ya nchi. Tunafahamu kuwa Mwanaume kamili hawezi kukaa muda mrefu bila ya kufanya ngono.

Hivyo Hawa Experts huwatumia Makuadi/Madalali wa kuuza wanawake Malaya au mashoga ili kuridhishwa kingono.

Wasanii wa Muziki na Maigizo wamekuwa sehemu kubwa ya kiwanda cha kuzalisha makuadi, hata hivyo wapo Tour Guide, Hotel attendants nao hujikuta katika Kazi YA ukuadi Kwa Foreigners.

Viongozi wakubwa wa nchi na wafanyabiashara wakubwa wa nchi pia kamwe hawawezi kuhangaika kutafuta wanawake warembo. Wanakuwa na vijana maalumu wa kufanya kazi hizo. Wao ni Kupiga simu tuu kuwa wamemuona mrembo Fulani au kumtumia picha kuadi kuwa unamjua huyu mrembo, kisha Oda inatolewa atafutwe Kwa gharama yoyote.

Bajeti inapangwa mrembo anawekwa mtu Kati.

Hii inafanya Makuadi kuheshimiwa Sana na Wanawake Malaya wa level ya kitaifa au kimataifa. Kwani wao ndio hupendekeza majina ya warembo Kwa matajiri.

Sio ajabu ukaona kwenye hii nchi yetu kuna Vijana wanafanya mambo ya ajabu lakini wanaheshimika na kuheshimiwa na baadhi ya warembo mashuhuri, hii ni kutokana na kuwa wao ndio kama Mawakala au Supervisor katika Kazi zao.

Wanawake wengi Sana siku hizi utashangaa wamepanga nyumba za gharama lakini kazi wanazozifanya hazieleweki. Sio hao tuu msijesema nawakandia pekee Yao.

Wapo na vijana wakiume wamepanga jumba kubwa la kifahari ambalo Kodi Kwa mwezi ni milioni Moja mpaka milioni mbili lakini hawana kazi ya maana.

Wengi wao ni mashoga, au wanafanya biashara tata ambazo Kwa nje hujifanya wanafanya shughuli Fulani labda ni Kuuza Duka la nguo.

2. Kumbi za STAREHE.
Hili wala sina haja ya kulielezea kwani linafahamika fika. Madanguro ya kwenye kumbi za STAREHE yamegawanyika.

Yapo makasino Local, na yapo international ambayo hapa ni watu wa mataifa tofauti, na pesa inayotumika na Dola.

Kima cha chini kikawaida ni USD 100 Kwa saa moja.

Kama nilivyosema hapo juu, kupata kazi hiyo ya umalaya kwenye makasink ya namna hiyo kunahitaji pia Connection, uzuri wa mwanamke pekee hautoshi. Hapo ndipo makuadi hupata kazi na nguvu katika sekta hiyo ya kishetani.

Mwenye Casino atatafuta kijana au mwanamke ambaye kazi yake ni kusajili warembo wakali Kwa ajili ya kazi ya umalaya kwenye hiyo Casino.

Connection ya Malaya ndio itaamua jeuri yake hapa mjini na wala sio uzuri wake.

Connection ya Malaya ikiwa ni heavyweight sio ajabu mwanamke Malaya akawa anawaletea jeuri hata baadhi ya maaskari au Wafanyakazi wengine.

Hata hivyo Malaya wa namna hiyo huwa kwenye kundi la Malaya Local.

3. Ofisi za Massage.
Ofisi hizi huwa na Aina mbalimbali ya huduma, zipo Huduma za wazi na zipo Huduma za Faragha.
Ingawaje kazi ya Masaji inaweza kuwa kazi Kama KAZI zingine lakini uwepo wa Malaya Kati kazi hiyo kunaingiza dosari katika Kazi hiyo.

Baadhi ya Malaya hasa wenye exposure ya Dunia au waliowahi kutoka nje ya nchi wameshika soko Hili au wameungana na Foreigners kuanzisha biashara hii ambayo kila Aina ya masaji inabei yake.

Bei ya kawaida ya masaji ni Dola 200 Sawa na pesa ya kitanzania laki Tano na ushee. Hata hivyo zipo masaji Locally ambazo bei zake ni Tsh 70,000 kuendelea.

Wageni wengi hasa jamii za Kihindi na kichina hupenda zaidi kutumia njia ya huku kuliko zile za Casino au Club.
Hata hivyo wapo Waafrika wengine Kama Wanaijeria, Waghana, Wakenya, Wajamaica ambao soko hilo wameliteka Kwa lengo la kuwahudumia jamii za Wazungu.

Hapo ukihitaji Huduma ya ngono utapata na bei utapewa. Au utachukua namba za simu kisha mengine yataendelea.

4. KUFANYA PARTY KWENYE BOAT AU MELI ZA KUKODISHA.
Mjini kuna mambo mengi Sana, miji iliyoko karibu na Bahari kama Zanzibar, Dar, Mombasa kuna madanguro ya namna hii.

Mara nyingi kuna kuwa na vikundi vya wanawake watupu, Kama uliwahi sikia Sijui Women party au sijui Superwomen Party au Party za namna hiyo.
Kuna kuwa na vikundi vya wanawake hasa Wale mashangingi wa mjini ambao baadhi Yao ni wasomi.
Wanaomba Sponsor ya pesa nje ya nchi Kwa kufanya sherehe za ku-empower wanawake hiyo ndio huitumia kama Agenda lakini agenda ya Siri ni biashara zao za kihunihuni.
Watakodi Boat kisha Party itafanywa usiku baharini.

Hapo kuna watu spesho wanaume watakuwa wamealikwa, wanaume matajiri wenye pesa. Kisha biashara itaendelea.

Biashara za hivi mara nyingi sio maarufu, na hazitakiwi kuwa maarufu kwani ni biashara Tata ambazo wengi wateja wake hawapendi kujulikana, hivyo wafanyabiashara hizo wanalinda Faragha za wateja wao.

Kwa kumaliza, wazazi tuwalee watoto wetu katika njia iwapasayo ili wasijejikuta katika mitego mibaya Kama hii.

Kama mzazi Kama binti yako hajaolewa na Hana kazi usimruhusu kwenda kupanga, ni rahisi kujiingiza kwenye maasi Kama hayo.

Nipumzike sasa;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Nairobi
MIMI NASHINDA MTANDAONI ILA HUYU MWAMBA APEWE TUZO.
 
Sasa hapa ulitaka kuishauri nini Serikali Juu ya kukusanya mapato...???
Maana ni biashara kumbe..???
 
MADANGURO YALIYOBORESHWA; BIASHARA INAYOKUA KWA KASI

Anaandika, Robert Heriel

Wanasema mjini mipango, hesabu akilini jasho peleka shambani.
Mjini kuna biashara nyingi Sana, biashara ya umalaya, ushoga na usagaji ikiwa ni miongoni mwa kazi za Mijini. Licha ya kuwa Dini imekataza mambo hayo na pengine Kwa baadhi ya nchi ni kosa la jinai Kwa kazi hizo lakini bado baadhi ya watu wameamua kukomaa na kazi hizo za kutia kinyaa.

Ungana na Taikon katika kuangazia Kwa uchache biashara hii ambayo kadiri siku ziendavyo inazidi kushika hatamu.

Danguro/Madanguro
Ni sehemu au nyumba au makazi wanayoyatumia Malaya kufanyia umalaya au kazi zao za kimalaya.
Madanguro hayakuanza Zama za leo. Yalianza tangu kipindi cha Yakobo, Suleiman na Yesu Mnazareth.

Hata hivyo Lazima tujue kuwa Umalaya ni shughuli aifanyayo mwanamke Kwa kuutumia mwili wake kingono Kwa ajili ya kujipatia faida au maslahi kama Pesa, kazi, au Mahitaji yake.

Kwa dunia ya sasa ni takribani 90% ni Malaya kwani wengi hufanya tendo la ngono ili kujipatia Jambo Fulani hasahasa Pesa. Ingawaje wengine Watasema huo ni Ukahaba na sio umalaya lakini Visawe hivyo viwili vinarejelea maana Ileile moja.

Zamani ilizoeleka kuwa madanguro ni maalumu kwa ajili ya Wanawake wanaojiuza lakini siku hizi mambo yamebadilika kidogo, hata wanaume mashoga siku hizi wanamadanguro yao.

Aina za Madanguro
1. Nyumba za kupanga
2. Kumbi za Starehe kama Casino, Club, n.k
3. Ofisi za Massage
4. kufanya Party kwenye Boat au meli ya Kukodisha

1. Nyumba za kupanga
Hii inatumiwa na Wadada wengi wa mjini. Mdada anapangisha nyumba nzima, labda ni Sinza, au Mbezi Beach au nje kidogo ya mji kama Goba, Tegeta. Kisha anatafuta wateja wake. Atatumia mbinu zifuatazo kupata wateja wake:

i. Atakuwa anatembelea Maeneo ya starehe au kujipumzisha kama Beach, Hotelini, Mall etc.
Akiwa kapendeza. Lazima kuna atakayejichanganya atakayeomba namba. Vetting yake sio ya kitoto. Muonekano wa mtu tu utamjulisha kuwa huyu anapesa au hana. Kisha mengine yote yatafanyika kwenye simu.

Aidha ajifanye anaishi Kwa shangazi yake(rafiki yake) ili akuombe umpe pesa akapange, kisha atachukue hiyo pesa ya kupanga kumbe tayari alishapanga, au akuambie mume wake amesafiri akukaribishe kwake, ili usimgande.

2. Atatumia Mitandao kama Tiktok au Instagram kujipromoti Kwa ku-post picha za kuvutia au video zinazoonyesha uzuri wa maumbile yake. Hapo wapo wataoingia Inbox atafanya usahili watakuja kwake Kwa kanuni Ileile kuwa ameolewa mume katoka nje ya nchi na au nje kikazi, au akuambie umpe hela akapange.

3. Ataenda Gym
Atachagua Gym zenye viwango ambazo hutumiwa na watu wenye vipato vya uhakika. Lakini atakuwa ni mtu wa kuhama Hama Gym kila atakapopata mteja au wateja zaidi ya watatu WA Gym moja.

4. Atatumia Makuwadi
KAZI ya ukuadi Mijini ni KAZI inayolipa Kwa Vijana wengi kuliko hata madaktari walioajiriwa. Kama unabisha endelea na ubishi wako.

Watu wengi wenye pesa hawana huo muda wa kutafuta wanawake au kuingia kwenye inbox za Warembo. Wapo watu wenye kazi hiyo.

Aina za Makuwadi
1. Kuadi wa Foreigners
2. Kuadi wa Raia wa Tanzania.

Jiji la Dar es salaam, Zanzibar, na Arusha linatembelea na Experts wengi kutoka nje ya nchi. Tunafahamu kuwa Mwanaume kamili hawezi kukaa muda mrefu bila ya kufanya ngono. Hivyo Hawa Experts huwatumia Makuadi/Madalali wa kuuza wanawake Malaya au mashoga ili kuridhishwa kingono.

Wasanii wa Muziki na Maigizo wamekuwa sehemu kubwa ya kiwanda cha kuzalisha makuadi, hata hivyo wapo Tour Guide, Hotel attendants nao hujikuta katika Kazi ya ukuadi kwa foreigners.

Viongozi wakubwa wa nchi na wafanyabiashara wakubwa wa nchi pia kamwe hawawezi kuhangaika kutafuta wanawake warembo. Wanakuwa na vijana maalumu wa kufanya kazi hizo. Wao ni Kupiga simu tuu kuwa wamemuona mrembo Fulani au kumtumia picha kuadi kuwa unamjua huyu mrembo, kisha Oda inatolewa atafutwe Kwa gharama yoyote. Bajeti inapangwa mrembo anawekwa mtu Kati.

Hii inafanya Makuadi kuheshimiwa Sana na Wanawake Malaya wa level ya kitaifa au kimataifa. Kwani wao ndio hupendekeza majina ya warembo Kwa matajiri.

Sio ajabu ukaona kwenye hii nchi yetu kuna Vijana wanafanya mambo ya ajabu lakini wanaheshimika na kuheshimiwa na baadhi ya warembo mashuhuri, hii ni kutokana na kuwa wao ndio kama Mawakala au Supervisor katika Kazi zao.

Wanawake wengi Sana siku hizi utashangaa wamepanga nyumba za gharama lakini kazi wanazozifanya hazieleweki. Sio hao tuu msijesema nawakandia pekee Yao.

Wapo na vijana wakiume wamepanga jumba kubwa la kifahari ambalo Kodi Kwa mwezi ni milioni Moja mpaka milioni mbili lakini hawana kazi ya maana.

Wengi wao ni mashoga, au wanafanya biashara tata ambazo Kwa nje hujifanya wanafanya shughuli Fulani labda ni Kuuza Duka la nguo.

2. Kumbi za STAREHE
Hili wala sina haja ya kulielezea kwani linafahamika fika. Madanguro ya kwenye kumbi za STAREHE yamegawanyika.

Yapo makasino Local, na yapo international ambayo hapa ni watu wa mataifa tofauti, na pesa inayotumika na Dola.

Kima cha chini kikawaida ni USD 100 Kwa saa moja.

Kama nilivyosema hapo juu, kupata kazi hiyo ya umalaya kwenye makasink ya namna hiyo kunahitaji pia Connection, uzuri wa mwanamke pekee hautoshi. Hapo ndipo makuadi hupata kazi na nguvu katika sekta hiyo ya kishetani.

Mwenye Casino atatafuta kijana au mwanamke ambaye kazi yake ni kusajili warembo wakali Kwa ajili ya kazi ya umalaya kwenye hiyo Casino.

Connection ya Malaya ndio itaamua jeuri yake hapa mjini na wala sio uzuri wake.

Connection ya Malaya ikiwa ni heavyweight sio ajabu mwanamke Malaya akawa anawaletea jeuri hata baadhi ya maaskari au Wafanyakazi wengine.

Hata hivyo Malaya wa namna hiyo huwa kwenye kundi la Malaya Local.

3. Ofisi za Massage
Ofisi hizi huwa na Aina mbalimbali ya huduma, zipo Huduma za wazi na zipo Huduma za Faragha.
Ingawaje kazi ya Masaji inaweza kuwa kazi Kama KAZI zingine lakini uwepo wa Malaya Kati kazi hiyo kunaingiza dosari katika Kazi hiyo.

Baadhi ya Malaya hasa wenye exposure ya Dunia au waliowahi kutoka nje ya nchi wameshika soko Hili au wameungana na Foreigners kuanzisha biashara hii ambayo kila Aina ya masaji inabei yake.

Bei ya kawaida ya masaji ni Dola 200 Sawa na pesa ya kitanzania laki Tano na ushee. Hata hivyo zipo masaji Locally ambazo bei zake ni Tsh 70,000 kuendelea.

Wageni wengi hasa jamii za Kihindi na kichina hupenda zaidi kutumia njia ya huku kuliko zile za Casino au Club.
Hata hivyo wapo Waafrika wengine Kama Wanaijeria, Waghana, Wakenya, Wajamaica ambao soko hilo wameliteka Kwa lengo la kuwahudumia jamii za Wazungu.

Hapo ukihitaji Huduma ya ngono utapata na bei utapewa. Au utachukua namba za simu kisha mengine yataendelea.

4. KUFANYA PARTY KWENYE BOAT AU MELI ZA KUKODISHA.
Mjini kuna mambo mengi Sana, miji iliyoko karibu na Bahari kama Zanzibar, Dar, Mombasa kuna madanguro ya namna hii.

Mara nyingi kuna kuwa na vikundi vya wanawake watupu, Kama uliwahi sikia Sijui Women party au sijui Superwomen Party au Party za namna hiyo. Kuna kuwa na vikundi vya wanawake hasa Wale mashangingi wa mjini ambao baadhi Yao ni wasomi. Wanaomba Sponsor ya pesa nje ya nchi Kwa kufanya sherehe za ku-empower wanawake hiyo ndio huitumia kama Agenda lakini agenda ya Siri ni biashara zao za kihunihuni.
Watakodi Boat kisha Party itafanywa usiku baharini.

Hapo kuna watu spesho wanaume watakuwa wamealikwa, wanaume matajiri wenye pesa. Kisha biashara itaendelea.

Biashara za hivi mara nyingi sio maarufu, na hazitakiwi kuwa maarufu kwani ni biashara Tata ambazo wengi wateja wake hawapendi kujulikana, hivyo wafanyabiashara hizo wanalinda Faragha za wateja wao.

Kwa kumaliza, wazazi tuwalee watoto wetu katika njia iwapasayo ili wasijejikuta katika mitego mibaya Kama hii.

Kama mzazi Kama binti yako hajaolewa na Hana kazi usimruhusu kwenda kupanga, ni rahisi kujiingiza kwenye maasi Kama hayo.

Nipumzike sasa;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Nairobi
Toa connection sasa na wewe! Siyo unatusimulia tu mwanzo mwisho.
 
Sasa mkurugenzi umeelezea machimbo yote hayo, halafu huna connection yoyote!!

Yaani huwajui hata baadhi ya hao Bongo Muvi wanaofanya kazi ya ukuwadi ili Mapedeshee wa Mikoani tuwatafute siku tukija huko Mjini!

😀😀
Pedeshee ndama kifaranga ya kanga.
Connection ya Warembo wakali mbona siku hizi sio Shida.
Mimi sina Mkuu
 
Ukitaka connection popote kamata bodaboda mpe ten atakuletea sample dizaini uitakayo. Bodaboda ndio wanajua siri zote za nani ni nani mtaani, wauzaji wote Wana namba za bodaboda. Bodaboda zote jirani na vyuo zinafanya Kazi mbili kutoa huduma za usafiri na ukuadi pia. Kutwa zinazururura kwenye mahotel, guest, lodge nk zikipeleka na kuchukua watu.
 
Back
Top Bottom