double R
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,398
- 2,538
Wahaya wakubali kuachia ardhi wengine wawekeze.Nasikia wasukuma wananunua sana maeneo ya mapori ya Karagwe na Biharamuro wanakwenda kufanya kilimo na ufugaji.Soon Bukoba itapaa, wasukuma wanasukuma maendeleo sehemu mbali mbali maana ni watumiaji Wazuri na wawekezaji Wazuri.Angalia Katavi, Marinyi, Kilosa morogoro, Lindi, Mbalali, Kasulu.Sukuma hawana utani linapokuja swala la uwekezaji katika kilimo na mifugo