Waraka wa maghembe wakataliwa DUCE

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Hali ni mbaya.ule waraka wa waziri wa kubadili katiba za vyuo umekataliwa,wanafunzi wameanzisha vurugu na wajumbe wa kukusanya maoni wamenusurika kipigo.
 
CCM wanataka kuingiza mizizi ktk tasinia ya elimu kwa aina yake.Sasa hatukubali kabisa.Logic ya kubadilisha katiba ipo wapi!
 
Back
Top Bottom