Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

Mwisho wake unakuja na atajuta kwa kupuuza ushauri huu amekalia uchochezi hajui kwamba magamba hawatatawala milele!!
 
Hi Mwl Shukia!

Kwa mwonekano wa Mwigulu chuoni haukuwa huu, huyu ni zaidi ya 'interahamwe' sasa. Mungu tu abadilishe roho hii ndani yake, sio mtanzania wa kawaida.
 
Wakuu heshima mbele.Naamini kabisa Nchemba ana matatizo makubwa sana personally(mentally).ni mtu wa kuonea huruma tuu na kumwacha afanye au aseme atakacho.ni mgonjwa wa akili.kwamba angekuwa ni kama binadamu wa kawaida na mtu mzima angekuwa na uwezo wa kuheshimu, kutambua na kuheshimu uwepo na umuhimu wa binadamu wengine.kwamba kutumia nguvu za dola kuonea watu isivyo halali,kuharibu maisha ya watu wengine na familia zao,kunyanyasa watu,kusababisha vifo vya binadamu wengine,kiushindani au kwa manufaa yake binafsi na baadhi ya watu fulani sio jambo zuri.Vyombo vya dola viko kwaajili ya kuwalinda na kuwasaidia wananchi wote pasipo kuangalia itikadi zao kichama au kidini.
Pili Nchemba hajui maana ya neno siasa na effects zake katika mahusiano ya watu.kwamba tofauti ya vyama vya kisiasa haitakiwi kuwa personal mpaka kuharibu uhusiano wa sisi kama binadamu.viongozi wa kisiasa wanaweza wakapingana au kutukanana majukwaani lakini ukawakuta nje ya majukwaa wanaongea vizuri tu.na ndivyo inavyotakiwa.lakini inapofikia kiongozi wa kisiasa kama nchemba anafikia mpaka hatua ya kuuwa au kusababisha vifo mpaka vya wananchi wa kawaida,kuhatarisha maisha,kuwaweka jela nk viongozi wengine wa upinzani basi ni dhahiri sio binadamu wa kawaida.Akumbuke kwamba kama viongozi wengine wangeamua kutumia vyombo vya dola(kwasababu tu wana access nanyo) nchi isingekwenda.Mh Raisi ambaye ndio mwenye mamlaka yote hatujawahi kuona akitumia nguvu ya dola hata pale anapokuwa publically provoked na wapinzani wake kisiasa.Nchemba ndo kawa zuzu la kutumwa kwenye kufanya mambo yasiyokuwa ya kibinaadam.hashangai mbona wanaomtuma hawafanyi wenyewe yeye anafurahia akidhani ndo ujanja.Asahau kabisa kuhusu kuurudia ubunge 2015.Mungu anasema unavyowatendea binadamu wengine na yeye atakulipa vivyohivyo hapahapa duniani.Be blessed!
 
Kuna mazingira ushauri kama huo inabidi mtu alipie lakini Nchemba anapewa bure, sasa ni kazi kwake kuufanyia kazi.

Sidhani kama Mwigulu anamjua Mwl.Shukia, huyu ni mtu smart sana, ni mtalaam wa lugha ya Kingereza,na ni mtu aliyejijengea heshima sana katika taaluma yake. alikuwa mwalimu wangu Mwenge Sec 2004. Of coz hata akijua haiwezi kumsaidia maana amejawa na dharau mpaka utosini
 
Mwiguli ni first class economist ,anajua kila kitu ,mwacheni

Maneno yaliyomvimbisha kichwa huyo mwigulu ni haya;

"Mkijibu kwa hoja wanatulia, sio Polisi. Nakumbuka Mwigulu aliwajibu pale bungeni kuhusu bajeti yao mbadala. Walipoitoa kijana wetu akasimama na kupiga msumari kweli wakachanganyikiwa sasa hizo ndio kazi zinazotakiwa jamani," alisisitiza Kikwete.

Hayo maneno alitamka Kikwete kwenye hotuba yake ya kufunga mkutano wa ccm ulifanyika Dodoma mwezi Novema 2012 na ndiyo yaliyomfanya ajione kuwa yeye ni zaidi ndani ya ccm.

http://www.mwananchi.co.tz/habari/kitaifa/-/1597296/1620328/-/290lvmz/-/index.html
 
Mwigulu ni kamanda wa kweli, lazima aisambaratishe chadema

Sio kila kitu ni CCM vs CDM mkuu.

Vingine ni
Humanity vs Inhumanity
Common Sense vs Stupidity
The Oppressed vs The Oppressor
Ukweli vs Uongo. Etc

Sio kila anaenda against you katika opinions hapa ni MwanaCDM, wengine hata siasa hawaijui ila ukweli wanauona na kama Watanzania inawabidi tu kuongea na kuusemea ukweli.

La muhimu hapa ni kumfikishia mtajwa ujumbe, ni ushauri mzuri atajifunza japo moja kutoka hayo aloandika mwalimu.

Swali la Kujiuliza ni, Je kesho cheo kikiisha ataishije na jamii yake?? Muda ndio huu wa kujisafisha na kujirekebisha. Kuna Kesho, na hatuijui inafananaje.

Mwisho wa siku mkuu Bungeni hata ukiwa huo upande uliochagua na mimi nikiwa huku, dukani bei ya bidhaa ni moja meku, oxygen ni ile ile, masaa ya siku ni yale yale na Nchi tunayoitakia mema ni hii hii yetu sote TANZANIA.

Labda kama mwenzangu umetumwa toka "inji" ingine sawa ntakuelewa, lakini kama wewe ni Mtanzania napata wakati mgumu kukueelewa.
 
Ukiona adui yako ana lalamika ujue umemshika Masabuli! Mwigulu endelea na mwendo huu! Serukamba you all haters to Mwigulu!
 
Salaams,

Kila kukicha ni wewe na kila uchao unavuma kwa mambo ambayo hayana msingi na wala hayana mwelekeo wa kuiendeleza Iramba Magharibi. Yawezekana umesahau jukumu lako kama mbunge wetu matokeo yake unafanya kazi za CCM na serikali ndani ya Bunge. Kumbuka kuwa wewe haupo bungeni kuiwakilisha serikali, au usalama wa taifa au CCM, upo bungeni kwa niaba ya wana Iramba Magharibi. Mengi unayozungumza bungeni ni yale uliyonayo kichwani mwako na si yale ambayo wana Iramba wamekutuma.

Huna sifa za kuwa mwakilishi wa wana Iramba. Ulipoteuliwa na wana CCM kugombea ubunge wana iramba wengi walidhani wamepata mtu wa kuisogeza Iramba. Niliwaskitikia sana wana Iramba wenzangu kwa kuwa na mtazamo huo. Ni kwa sababu walikuwa hawakujui. Mie niliyepata kukufahamu japo kidogo nilisikitika sana. Nakumbuka ulipokuwa UDSM kipindi kile cha mgomo wa kushinikiza marehem Mkili atolewe magereza, kila uliposimama kutoa hoja watu walikuzomea na kukutaka ukae chini. Si kwa sababu walikuwa wankuchukua, ila kwa sababu hukuwa na uwezo wa kujenga hoja za kushawishi watu. Hilo liko wazi, watanzania walio wengi wanakuzomea kila uzungumzapo bungeni. Sidhani kama hiyo ni sifa nzuri kwa kiongozi mzuri.

Umekuwa ukihusishwa na mambo mengi ya hovyo, wahenga walisema lisemwalo lipo.... Sidhani sana kama unajitambua na unatambua uyafanyayo. Wakati mwingine huwa nafikiri huenda yale maisha yako ya kukaa porini kwa muda mrefu ukichunga ng'ombe yaliathiri ukuaji wako kiakili kiasi kwamba hujitambui, huwezi kujenga hoja zikashawishi watu, ukatumiwa na wenzako kwa kila aina ya jambo lisilojema na wewe ukalibebea bango pasipo tafakuri ya kutosha. Ama kwa hakika umekuwa limbukieni wa kila jambo. Kumbuka cheo ni dhamana, na hukuzaliwa kuwa kiongozi milele. Muda wako utakwisha watakuja wengine nao watapita. Ni vema sasa ukatumia muda huu kufanya mambo ambayo watu watakukumbuka nayo kwa wema.

Ulikuwa mchunga ng'ombe hebu kumbuka kufanya mambo ambayo yatawasaidia wale wachunga ng'ombe uliowaacha wanataabika. Think wider, achana na ulimbukeni wa kisiasa na kulewa vimadaraka ulivyo navyo. Jitambue kuwa wenzako wanakutumia, ukichujuka watakumwaga. Si unajua mwisho wa vuvuzela ni nini.

Shukia

Mwigulu kama kweli alikuwa mchunga ng'ombe ukifanyika uchunguzi wa kibaolojia watagundua aliwahi kulawiti ng'ombe hii hamu yake ya wake za watu sidhani kama ng'ombe walipona, if cows could talk then.....................
 
Hilo jamaa huwa halioni hata aibu,litapigwa bao na daktar mkumbo mwaka 2015
, Tafadhali Dr.mkumbo, 2015 nenda kagombee ktk jimbo la Iramba ili uweze kutatua shida za wananchi.Watu wanafanya kazi zinazotakiwa kufanywa na Nape NAUYE , kazi yetu si imekuwa ni kuwabeza wenzetu wa upinzani waliowachache, viongozi wa srikali hawawajibiki ipasavyo, serikali imevaa miwani ya......... . SOURCE : DEO FILIKUNJOMBE (MP CCM-LUDEWA)
 
Huyu mwalimu kama kweli anania njema na kijiamini vema aweke bayana utambulisho wake humu jf ili tumjadili huyu ni mbumbumbu asiyejitambua ni hewa kama mahewa wegine aliyekutuma wote mko milembe day.

Kwa mim ninayemfaham ni jina lake halis, na hatj mwigul anamjua vzur tu, so ucwe na wasi kuhusu hlo
 
Huyu jamaa anavaa skafu ya bendera ya taifa utadhani anaipenda tz lakini hakika nawaambieni kila baya linalojitokeza mwigulu yupo nyuma yake. Kawadanganya vijana wa iramba kwenda kufanya fujo kwenye mkutano wa cdm matokeo yake mwenzao akapoteza maisha huku yeye akisimama bungeni na kuwanyooshea vidole chadema kuwa ndio waliomuua huyo kijana.
Mwigope mungu kumbuka damu za waliopoteza maisha zitakufuata popote ulipo na hata udanganyifu wako hautakusaidia.,
nchi hii ni yetu sote na sio ya chama chochote tanguliza taifa kwanza halafu chama baadae.
Mchumi wa daraja la kwanza halafu arguement zako hazina tofauti na mtu wa std vii aibu kwako na hao waliokufundisha.
Kweli nimeamini madaraka yanalevya!
 
Kwa vile mwalimu kataja jina lake kamili basi tusishangae kesho tukisia yu mahututi au marehemu..otherwise ni ushauri mzuri nchemba uchukue na ujichunguze.

Nampongeza mwl kwakuacha uwoga. Mwigulu tulimshauri siku nyingi kuwa anavyofanya sio sahihi, chakushangaza wiki hiyo hoyo akaibuka na yale yale tuliyomkaza. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa.Mwigulu anafikiri watanzania ni wajinga. Kijana jirekebishe.
 
Salaams,
Kila kukicha ni wewe na kila uchao unavuma kwa mambo ambayo hayana msingi na wala hayana mwelekeo wa kuiendeleza Iramba Magharibi. Yawezekana umesahau jukumu lako kama mbunge wetu matokeo yake unafanya kazi za CCM na serikali ndani ya Bunge. Kumbuka kuwa wewe haupo bungeni kuiwakilisha serikali, au usalama wa taifa au CCM, upo bungeni kwa niaba ya wana Iramba Magharibi. Mengi unayozungumza bungeni ni yale uliyonayo kichwani mwako na si yale ambayo wana Iramba wamekutuma.

Ulikuwa mchunga ng'ombe hebu kumbuka kufanya mambo ambayo yatawasaidia wale wachunga ng'ombe uliowaacha wanataabika. Think wider, achana na ulimbukeni wa kisiasa na kulewa vimadaraka ulivyo navyo. Jitambue kuwa wenzako wanakutumia, ukichujuka watakumwaga. Si unajua mwisho wa vuvuzela ni nini.
Shukia

Mistari imeshushwa mwenye masikio na asikie. Lakini mhhhh,sikio la kufa halisikii dawa!
 
Sio kila kitu ni CCM vs CDM mkuu.

Vingine ni
Humanity vs Inhumanity
Common Sense vs Stupidity
The Oppressed vs The Oppressor
Ukweli vs Uongo. Etc

Sio kila anaenda against you katika opinions hapa ni MwanaCDM, wengine hata siasa hawaijui ila ukweli wanauona na kama Watanzania inawabidi tu kuongea na kuusemea ukweli.

La muhimu hapa ni kumfikishia mtajwa ujumbe, ni ushauri mzuri atajifunza japo moja kutoka hayo aloandika mwalimu.

Swali la Kujiuliza ni, Je kesho cheo kikiisha ataishije na jamii yake?? Muda ndio huu wa kujisafisha na kujirekebisha. Kuna Kesho, na hatuijui inafananaje.

Mwisho wa siku mkuu Bungeni hata ukiwa huo upande uliochagua na mimi nikiwa huku, dukani bei ya bidhaa ni moja meku, oxygen ni ile ile, masaa ya siku ni yale yale na Nchi tunayoitakia mema ni hii hii yetu sote TANZANIA.

Labda kama mwenzangu umetumwa toka "inji" ingine sawa ntakuelewa, lakini kama wewe ni Mtanzania napata wakati mgumu kukueelewa.

Mkuu, una hekima sana. Huo ndiyo ukweli na kila mtu ina bidi aujue.
 
Sasa mkuu ni na wewe hewa kweli lisu anahoja gani zaidi ya kukaa anaomba miongozo na utaratibu,lisu mnapswa kumtibu kwanza ule ugonjwa wake vinginevyo mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.
Kama mimi hewa hana shaka wewe utakuwa ushuzi! ugonjwa wa lisu ni kusema ukweli! Ukweli wake umetusaidia kuwajua majaji wasiosoma! Ukweli wake umesaidia kujua mikataba ya kipuuzi kwenye dhahabu mliyoingia! Ukweli wake umesaidia kujua hila mbaya kwenye mchakato wa katiba... ulianza kujamba sulphadioxide sasa unajamba sulphuric acid...
 
Salaams,

Kila kukicha ni wewe na kila uchao unavuma kwa mambo ambayo hayana msingi na wala hayana mwelekeo wa kuiendeleza Iramba Magharibi. Yawezekana umesahau jukumu lako kama mbunge wetu matokeo yake unafanya kazi za CCM na serikali ndani ya Bunge. Kumbuka kuwa wewe haupo bungeni kuiwakilisha serikali, au usalama wa taifa au CCM, upo bungeni kwa niaba ya wana Iramba Magharibi. Mengi unayozungumza bungeni ni yale uliyonayo kichwani mwako na si yale ambayo wana Iramba wamekutuma.

Huna sifa za kuwa mwakilishi wa wana Iramba. Ulipoteuliwa na wana CCM kugombea ubunge wana iramba wengi walidhani wamepata mtu wa kuisogeza Iramba. Niliwaskitikia sana wana Iramba wenzangu kwa kuwa na mtazamo huo. Ni kwa sababu walikuwa hawakujui. Mie niliyepata kukufahamu japo kidogo nilisikitika sana. Nakumbuka ulipokuwa UDSM kipindi kile cha mgomo wa kushinikiza marehem Mkili atolewe magereza, kila uliposimama kutoa hoja watu walikuzomea na kukutaka ukae chini. Si kwa sababu walikuwa wankuchukua, ila kwa sababu hukuwa na uwezo wa kujenga hoja za kushawishi watu. Hilo liko wazi, watanzania walio wengi wanakuzomea kila uzungumzapo bungeni. Sidhani kama hiyo ni sifa nzuri kwa kiongozi mzuri.

Umekuwa ukihusishwa na mambo mengi ya hovyo, wahenga walisema lisemwalo lipo.... Sidhani sana kama unajitambua na unatambua uyafanyayo. Wakati mwingine huwa nafikiri huenda yale maisha yako ya kukaa porini kwa muda mrefu ukichunga ng'ombe yaliathiri ukuaji wako kiakili kiasi kwamba hujitambui, huwezi kujenga hoja zikashawishi watu, ukatumiwa na wenzako kwa kila aina ya jambo lisilojema na wewe ukalibebea bango pasipo tafakuri ya kutosha. Ama kwa hakika umekuwa limbukieni wa kila jambo. Kumbuka cheo ni dhamana, na hukuzaliwa kuwa kiongozi milele. Muda wako utakwisha watakuja wengine nao watapita. Ni vema sasa ukatumia muda huu kufanya mambo ambayo watu watakukumbuka nayo kwa wema.

Ulikuwa mchunga ng'ombe hebu kumbuka kufanya mambo ambayo yatawasaidia wale wachunga ng'ombe uliowaacha wanataabika. Think wider, achana na ulimbukeni wa kisiasa na kulewa vimadaraka ulivyo navyo. Jitambue kuwa wenzako wanakutumia, ukichujuka watakumwaga. Si unajua mwisho wa vuvuzela ni nini.

Shukia

Mwl. Shukia, nakupa Big up.

Hakika kwa ujumbe huu kwa Mwigulu Mchembe Mchunga Ng'ombe naona UMEMSHUKIA huyu limbukeni na Vuvuzela wa CCM. Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.

Kweli huyu jamaa bila shaka uchunga Ng'ombe kule usukumani/unyirambani ulimwasiri kisaikolojia na hajitambui mpaka kesho. Kwa uamuzi huu wa Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi ya UGAIDIiliyotengenezwa na Nchembe dhidi ya Lwakatare kwa namna moja au nyingine inaweza kumfanya huyu limbukeni aanze KUJITAMBUA labda.

Waswahili walisema TABIA HAINA DAWA! Sijui kama itamsaidia maana inavoonekana matendo na kauli za Mwigulu Mchembe ni TABIA ILIYO NDANI KABISA YA NAFSI yake na itakuwa vigumu sana kubadilika. Samaki hukunjwa angali mbichi. Kwa Mwigulu naona wazazi wake waliteleza kumkunja huyu samaki alipokuwa mbichi kwa hiyo nachelea kuwa it can be too late for Mwigulu Mchembe to change at this very moment!!!

Kwa uhakika tu kama ninavyoandika hapa kwenye jukwaa la JF nina amini kuwa huu UJINGA ANAOUFANYA BWANA MWIGULU MCHEMBE GHARAMA YAKE CCM WATAIONA MWAKA 2015 wakti wa UCHAGUZI MKUU.Hili nina hakika nalo kwa asilimia 100.

Tusubirini tu, time gonna prove these facts.

Wasalaam.
 
Back
Top Bottom