Waraka kwako Abiria wangu (Binti) ninaekupaga Lifti asubuhi!!

Umenichekesha.....Kwani lazima umpe lift? Unamuone Huruma mtu hata undugu nae tuna umekuwa baba huruma? Kwanini unaacha mtu akupelekeshe?its your life remember!!
 
Hahahaha! Pole weeh! Kama unashindwa kumwambia live print hiki ulichoandika hapa weka kwa bahasha mpatie. Au ikishindikana mweleze wife wako amfikishie ujumbe huyo jirani yako. Kusema ukweli ni basi tu ila biashara ya lft inakera sana. No freedom no privacy at all. Mi sitoi lift bana acha tu waseme nina roho kutu kwani gari si nimenunua kwa jasho langu!
 
Yaani unampa lifti na simu unampigia! Una lako jambo ww? kama ulionyesha nia ya kutoka nae mwenzio ameshakukubali otherwise mweleze ukweli tu! au usimpe lifti angalau kwa wiki, ni simple tu badili ratiba kidogo! umemamliza.
 
sasa kamanda si unatoa lift kwa hiari donge la nini.?

Hata kama anatoa lift kwa hiari haiwezekani awe anakata makucha yake ndani ya gari! DEMBA akizikuta hizo kucha kwenye gari anaweza hisi wrongly kama mm nam cheat!

Huyu dada sio mstaarab kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Ushauri
Mimi haya yalishanikuta nlichofanya ni kumwambia wife we!!Wacha amuwakie ila alibadilika. Ingine ni office mate wangu walikuwa na tabia za kufowadiana meseji za kipuuzi, hadi usiku nliwambia hawakusikia nkamtonya wife akawapandia hewani wacha wawe wapole.. Na wakakoma, ingawa notion waliyonayo ni kuwa mimi sipumui kwa Wife but whatever ilisaidia

Ata mie ndio ninaloliona hapa,ni kama mtoto ambaye akikutana na magumu anavyokimbilia kwa Mama ndivyo nawe unavyokimbilia kwa Wife wako,hivyo mkeo ndiye mkuu wa familia yako na ndiye anayesolve matatizo ambayo wewe huyawezi.
 
Uzushi huu

Mwanaume gani unashindwa kumface mwanamke mpaka uje huku JF

Kwani lazma kumpa lift? Maana una donge zito moyoni utafikiri usipompa lift utakufa

Lol stori nyingine bana

Mmmh...mbona hasira hivi?hili jiwe la gizani bila shaka linakuhusu.
 
We pimbi kweli....kumbe unaenda mwenyewe kumsubiri getini kwake?(rejea lalamiko namba 2)...hebu toa upuuzi waki hapa
 
Hata kama anatoa lift kwa hiari haiwezekani awe anakata makucha yake ndani ya gari! DEMBA akizikuta hizo kucha kwenye gari anaweza hisi wrongly kama mm nam cheat!

Huyu dada sio mstaarab kabisa!
Hilo ni Moja,

Pili yeye hizo kucha zake kaziona ni uchafu ndio maana anazikata.
Sasa why hajishughulishi kuzitafuta zinaporukia ili aziokote na kuzitupia nje??
Ina maana gari yangu ndio ya kuwekea vitu vichafu vilivyotoka kwenye mwili wake??
 
Gari lako bt linakunyima raha,kwann usimwambie akajua?au kama hauwez kwanin ucngechange ratba yako,unakua unamuacha?ungefanya ivo kwa muda wa siku nne ungekua umesolve tatizo,unles nawe unapenda kumchukua kila siku
 
Kwanini usimwambie wewe mwenyewe, ilo ni suala lako na yeye, kama hupendi mwambie, tena namba yake unayo mtumie meseji asipoelewa mwambie ana kwa ana,gari lako mwenyewe kusumbuka usumbuke wewe
 
Akaaaa! mpaka kafikia kukupigia cm asubuhi inamaaana umemzowesha,kama huyataki unge yasitisha zamani sana..
 
Nahisi jirani yangu kasoma huu waraka maana leo nimesubiri lift ya kwenda church mpaka nimekoma..Hakuna cha simu wala honi kwa gate...

Haidhuru sana..ngoja niwahi bajaji fasta..
 
Back
Top Bottom