wapinzani wakipata cheo tu, kimyaaa, ndo walicholilia?

Mpeni sifa Yesu

JF-Expert Member
May 23, 2010
646
129
Jamani, kina Maalim Seif walipopata uongozi tu kwenye selikali ya zanzibar, wamefumbwa mdomo na wamekuwa rafiki mkubwa wa CCM. imagine kama Dr.slaa angepewa uwaziri mkuu na kikwete, mbowe naye akapata makamu wa rais, chadema ingekuwepo bado? can we trust these guys?..kwa upande wangu bado ninayo imani kubwa sana na chadema...ila cuf kwa jinsi walivyowageuka wapinzani wenzao, nimeamini kumbe walichokuwa wanapigania miaka yote hiyo ni kupewa cheo. manake walipopata cheo tu wamenyamaza kimyaaa....
 
Inabidi Seif ahojiwe na atupe msimamo wake baada ya kuukwaa umakamu wa raisi.
 
Inabidi Seif ahojiwe na atupe msimamo wake baada ya kuukwaa umakamu wa raisi.

Seif hana mpya, ilikuwa imeshafika jioni, kwa miaka aliyokuwa nayo halikuwa hawezi kugombea tena, kwa hiyo damu ya watu aliyomwaga amekubali kuwasaliti na kuambulia 1st VP asiye na power
 
Back
Top Bottom