Wapinzani tutoke na kick ipi kupambana na Rais Magufuli maana kila tunalojaribu tunashindwa

Ni sheeedaaaaa! Wengi waliochagua vilaza hivi sasa wanalia na kusaha meno. Wengi wamepoteza mwelekeo afadhali huyu Kada wa CHADEMA kaamua kupunguza stress humu
Mkuu lizaboni tumkaribishe kwetu huyu, apanue fikra
 
Ccm haina mvuto,mvuto wa jpm ulianza kupanda lkn kwa sasa umeshuka kwa kasi,leo watanzania wameanza kulalamika na kukata tamaa kabisa,watz hawajui waendako.Subiri sindano za mwezi July,mbona tunaisoma namba?
 
Wewe vilaza huwajuie, angalia hizi shahada za mwendokasi za akina Msigwa na Lema.
Kuliko yule anayesema Sanamu ya Askari iondolewe iwekwe ya Diamond? Au yule anaesema Wachaga na Waislam ndio wanaokwamisha maendeleo ya Tanzania, vipi Sukari imeshafika?
 
Ni sheeedaaaaa! Wengi waliochagua vilaza hivi sasa wanalia na kusaha meno. Wengi wamepoteza mwelekeo afadhali huyu Kada wa CHADEMA kaamua kupunguza stress humu
Duh! Kuna wabunge vilaza, eti Sanamu ya askari pale Samora itolewe iwekwe ya Diamond, mwingine ati bangi iruhusiwe kutumika, mwingine anasikia uchungu ..............
 
Kilaza vipi, uzi haujauelewa?
kuna mambo mengi ya kuandika kuhusu maendeleo, wewe unataka sifa tu hapa, hebu eleze bajeti ya wizara yenye dhamana ya kilimo imepangiwa pesa za kutosha? shule zenye mapaa ya majani na madawati ya matufali zimeangaliwa na bajeti inayoendelea bungeni? acha sifaaaa....
 
Duh! Kuna wabunge vilaza, eti Sanamu ya askari pale Samora itolewe iwekwe ya Diamond, mwingine ati bangi iruhusiwe kutumika, mwingine anasikia uchungu ..............
Kwangu Mimi KILAZA namba moja ni yule aliyeimba wimbo Wa LOWASSA NI FISADI kwenye kiitikio kwenye PAMBIO akaimba LOWASSA siyo fisadi
 
Ukiachwa kulelewa ndo utaelewa mana sasa hivi kichwa ni kitupu kuliko utupu wenyewe...kina baba jesca mpo wengi
 
kuna mambo mengi ya kuandika kuhusu maendeleo, wewe unataka sifa tu hapa, hebu eleze bajeti ya wizara yenye dhamana ya kilimo imepangiwa pesa za kutosha? shule zenye mapaa ya majani na madawati ya matufali zimeangaliwa na bajeti inayoendelea bungeni? acha sifaaaa....
Ukitaka tujadili hilo, anzisha mada inayohusu huko. Sasa tujadili jinsi mtakavyotoka maana JPM kawakaba kooni.
 
Andiko reeefu halina maana yeyote, haya utaongezewa posho Leo, halafu acha unafiki wewe si chadema
 
kuna mambo mengi ya kuandika kuhusu maendeleo, wewe unataka sifa tu hapa, hebu eleze bajeti ya wizara yenye dhamana ya kilimo imepangiwa pesa za kutosha? shule zenye mapaa ya majani na madawati ya matufali zimeangaliwa na bajeti inayoendelea bungeni? acha sifaaaa....
Mmekomeshwa kweli na Magufuli. Mnatapata hovyo, ulichokiandika kinahusiana vipi na Mada hii
 
Back
Top Bottom