Wapigwa Faini Kwa Kufanya Mapenzi Kanisani Nigeria

Shapu

JF-Expert Member
Jan 17, 2008
2,111
790
Friday, August 07, 2009 7:22 AM
Wanigeria wawili mtu na mkewe ambao walikuwa na nia ya kuyaamsha mapenzi yaliyopooza katika ndoa yao na kuamua kufanya mapenzi ndani ya kanisa juu ya 'meza ya bwana' wameambulia kupigwa faini na mahakama.
Tolu Akintepe, 30, na mke wake Bunmi, 28, walipandishwa kizimbani baada ya kukamatwa wakifanya mapenzi juu ya madhabahu au maarufu kama 'Meza ya bwana' (meza inayokuwa mbele kabisa kanisani).
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Metro, wanandoa hao wakati wakipeana raha juu ya meza ya bwana walifumaniwa na mchungaji wa kanisa hilo dogo la Pentekoste lililopo katika kitongoji cha Ikeja jijini Lagos.
Mchungaji Gbenga Akhiomu aliwataka wanandoa hao walipe fidia ya dola 170 ( takribani Tsh. 225,000) kwa kuivunjia heshima madhabahu. Mchungaji huyo pia aliwataka wanandoa hao waisafishe madhabahu na kisha wasali kuomba msamaha.
Katika hali iliyowaacha watu wengi mahakamani wakibaki na kicheko, wanandoa hao walimwambia jaji Ifeanyinwa Okenwa kwamba walifanya kitendo hicho ili kuongeza viungo vya kuamsha mapenzi yao ambayo yalikuwa yameanza kufifia baada ya ndoa yao ya miaka minne.
"Mke wangu amekuwa akiniambia mara kwa mara kwamba anataka tuyakuze mapenzi yetu kwa kufanya kitu kisicho cha kawaida" alisema Akintepe.
"Nilifikiria kuwa litakuwa wazo zuri kama tutafanya mapenzi kanisani huku Mungu akituangalia. Nilijua ni wazo linalohitaji ujasiri. Nilimwambia mke wangu naye akalipenda sana".
Jaji Okenwa aliwaonya wanandoa hao waheshimu taasisi za dini na aliwaamuru walipe faini ya dola 170.
Wanandoa hao waliridhika na hukumu hiyo na walijitolea kulisafisha kanisa zima kwa muda wa wiki moja
 
Friday, August 07, 2009 7:22 AM
Wanigeria wawili mtu na mkewe...

...hawa nao wamezidi ushirikina! ...nyuma ya hiyo 'Alibi' yao, utakuta 'Sangoma' kawaamuru wakatende hilo ili wafanikiwe kwenye shughuli zao!

Laana tupu.
 
...hawa nao wamezidi ushirikina! ...nyuma ya hiyo 'Alibi' yao, utakuta 'Sangoma' kawaamuru wakatende hilo ili wafanikiwe kwenye shughuli zao!

Laana tupu.

Mkuu Mbu hapa nakuunga mkono, hiyo si ajabu wameitumia kama Alibi tu, walikuwa na mambo yao manake walipofikia ni pabaya. of all the places!
 
Friday, August 07, 2009 7:22 AM
Wanigeria wawili mtu na mkewe ambao walikuwa na nia ya kuyaamsha mapenzi yaliyopooza katika ndoa yao na kuamua kufanya mapenzi ndani ya kanisa juu ya 'meza ya bwana' wameambulia kupigwa faini na mahakama.
Tolu Akintepe, 30, na mke wake Bunmi, 28, walipandishwa kizimbani baada ya kukamatwa wakifanya mapenzi juu ya madhabahu au maarufu kama 'Meza ya bwana' (meza inayokuwa mbele kabisa kanisani).
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Metro, wanandoa hao wakati wakipeana raha juu ya meza ya bwana walifumaniwa na mchungaji wa kanisa hilo dogo la Pentekoste lililopo katika kitongoji cha Ikeja jijini Lagos.
Mchungaji Gbenga Akhiomu aliwataka wanandoa hao walipe fidia ya dola 170 ( takribani Tsh. 225,000) kwa kuivunjia heshima madhabahu. Mchungaji huyo pia aliwataka wanandoa hao waisafishe madhabahu na kisha wasali kuomba msamaha.
Katika hali iliyowaacha watu wengi mahakamani wakibaki na kicheko, wanandoa hao walimwambia jaji Ifeanyinwa Okenwa kwamba walifanya kitendo hicho ili kuongeza viungo vya kuamsha mapenzi yao ambayo yalikuwa yameanza kufifia baada ya ndoa yao ya miaka minne.
"Mke wangu amekuwa akiniambia mara kwa mara kwamba anataka tuyakuze mapenzi yetu kwa kufanya kitu kisicho cha kawaida" alisema Akintepe.
"Nilifikiria kuwa litakuwa wazo zuri kama tutafanya mapenzi kanisani huku Mungu akituangalia. Nilijua ni wazo linalohitaji ujasiri. Nilimwambia mke wangu naye akalipenda sana".
Jaji Okenwa aliwaonya wanandoa hao waheshimu taasisi za dini na aliwaamuru walipe faini ya dola 170.
Wanandoa hao waliridhika na hukumu hiyo na walijitolea kulisafisha kanisa zima kwa muda wa wiki moja

wanaonewa wanyonge tu hawa mapapa wanaachwa wanaochokoana ma-ta-ko

On Homosexuals in the Catholic Priesthood

In a conversation with a well qualified school teacher who is a convert to Catholicism, she stated that she believes that as many as 75% of priests may be homosexual. Later, in consideration of what she had said, I reflected upon a number of priests in the archdiocese and had to admit the possibility that a high percentage of them might at least be homosexually oriented. I told her that I had considered the possibility that 40% of priests might be homosexual but found it hard to believe that the numbers she suggested could be correct. In using the term homosexual I am not distinguishing between those who are chaste and those who are active / practicing homosexuals.

Shortly after ordination I had reflected that it would be terrible that if as many as 2% of priests were homosexual. Perhaps a year later in a conversation with a highly placed priest of the archdiocese he stated that approximately 35% of priests were homosexuals. It was most disconcerting to read the following article in which Fr. Cozzens, the head of a Catholic seminary, says that estimates range as high as 60% of American priests are homosexual.

Unfortunately the article states that, "Cozzens is not against ordaining gay men, and concedes some effective bishops and even some popes may have been gay."

I totally disagree with his position of not being against ordaining gay men. I personally believe that it should be incorporated into the Code of Canon Law that homosexual orientation invalidates ordination, that is, makes homosexual orientation a diriment impediment to ordination. I further believe that an active homosexual cleric or religious (including pedophiles) should incur a totally reserved automatic excommunication that remains unforgivable while remaining in such position. Such sin would be a permanent impediment in regard to returning to religious life.

While the expulsion of active homosexuals would possibly, even probably, cause a significant temporary decline in the number of available priests, I believe that in the long run the Church would have a great increase in vocations with a correspondingly healthier priesthood and consequently a morally healthier Church and world.
              1. Father David C. Trosch
                August 18, 2000
                Feast of St. Jane Frances de Chantal
 
Badala ya kuweka hazina mbinguni wao wana wekeza duniani.Hawa wa Nigeria wamezidi kuwa washirikina.
 
Huyo mchungaji gani yupo after money?....ila kwa vile mnigeria sawa........laikini si asingewasamehe tu kutokana na maandiko?????????? duh makubwa!!
 
Nigerian yoooooooo!!! Mh! kweli ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni.
 
Kwani walikuwa wanazini au wanafanya tendo la ndoa? Ubaya uko wapi? Tendo la ndoa ni kitu kitakatifu na wamefanyia mahali patakatifu tena mbele ya bwana aliyehidhinisha ndoa! Na ulikuwa sio muda wa sala, ndo maana wakaambiwa wasafishe najisi yao. Walikuwa kwenye ibada ya kuhuisha viungo vyao. Hapo ushirikina uko wapi, au nyie ndo washirikina? Kwani nyie mkifanya ushirikina mnaenda kanisani?
 
Ama kweli JF is the place of GREAT THINKERS. Umefikiria outside the box mkuu.
 
Hapo tendo la ndoa je wangekuwa wanajiexpress nafikiri adhabu ingekuwa kubwa mno maana kujiexpress ni gharama kubwa sana.
 
yaani wameona kwenda kuliamshia kanisani ndio dawa???? mmmm kazi kweli!
 
kwani walikuwa wanazini au wanafanya tendo la ndoa? Ubaya uko wapi? Tendo la ndoa ni kitu kitakatifu na wamefanyia mahali patakatifu tena mbele ya bwana aliyehidhinisha ndoa! Na ulikuwa sio muda wa sala, ndo maana wakaambiwa wasafishe najisi yao. Walikuwa kwenye ibada ya kuhuisha viungo vyao. Hapo ushirikina uko wapi, au nyie ndo washirikina? Kwani nyie mkifanya ushirikina mnaenda kanisani?
tawile:
 
Eti walitaka kufanya mapenzi kanisani huku Mungu akiwaona-aliyewaambia kuw awakiwa kwao hawaoni nnani?. Hawa nao walitaka tu kuingia katika kitabu cha Kumbukumbu kwa vimbwanga!
 
I support you fully. Ukitazama hizi cinema za Africa Magic (Nigeria movies), utaona katika kila filamu, mganga au sangoma anahusika kutatu shida za mapenzi, biashara etc etc. Hivi mbona Wanigeria wanapenda sana mambo ya ushirikina namna hii. Nasikia kila corner Nigeria kuna mganga wa kienyeji. Samahani kwa wale wanaohusika nao, ilikuwa tu ni maoni yangu. By the way, inaonekana dawa zao zafanya kazi maana wana advertise wazi wazi kwenye kila movie kuwa ndio solution.
 
Back
Top Bottom