Wapi wenye akili zaidi?

Mwenye Akili ni ambaye ana yafuatayo:
....... Hekima;
....... Ufahamu;
....... Shauri;
....... Uweza;
....... Maarifa na
....... Kumcha Mungu.
 
ka niaba ya wote naomba tumsamehe na tuendelee kupata burudani ya maneno ya kashfa.

Kila mtu anajua akili zake zinavyomsaidia mwenyewe, manake kwanza kutambua tu kwamba akili ni muhimu, kunahitaji akili nyingi sana.
Kwahiyo hongereni sana wote.
Ni matumaini yangu kuwa kadiri mtakavyoendelea kuongeza akili zenu, mtatambua kazi ya akili ni nini, na mtaamua kuzitumia ipasavyo.
 
Akili ni nywele, kila mtu ana zake. Ingawa mimi nawaona wenye akili zaidi ni walio "Bongo" ambako hakuna kilichoandaliwa kwa ajili yao, serikali yao haijui kama wapo lakini wameendelea kuwepo na wameifanya Tanzania iendelee kuwepo!
 
Submit your analytical framework together with your detailed CV so that we know whom we are about to create dialogue with. Uttering such statements without supporting facts raises ?????
 
Kati ya wabongo waishio Marekani na wale waishio UK na nchi zingine za Ulaya, wapi wenye akili zaidi? Mimi nasema wale waishio Marekani....wewe unasemaje?
marijuana-leaf.jpg

unapotumia jani hilo jitahidi uwe umekula
img_0348.jpg
 
NYANI,reading through your mind,inaonekana una domestc problems,to release your anger cum frustuations,you HIT THE KEYBOARD,with totally uncalled for,layman issues.we the JF franternity symphatise wholeheartedly with your plight,and as a token of support we suggest you see a SHRINK.THE SOONER THE BETTER
kabisaaaaaa....au kaachwa na XXXl lake au madeni yamemzidi....jamaa yuko very lowa sana kwenye post zake.......lakini tutaenda nae taratibu JF ni kama kokoro hata hawa hawakosekani....
 
sijaelewa maana ya mwenye akili zaidi na aliyekuwa nazo kidogo ila nijuavyo mimi ni kuwa wote ni pu**u tu maana kama wangekuwa na akili wasingekubali kwenda kubebeshwa mabox na wazungu na wengine kuolewa na bibi vizee kwa tamaa ya maisha rahisi,mbona tangu waende huko hakuna aliyerudi na technology yoyote hata ya kutengeneza pamba za kuchokoa masikioni.sana sana wakirudi huwa wanarudi na mitindo ya mavazi na huku wengine wamebadilisha hata miondoko ,shame on them
 
sijaelewa maana ya mwenye akili zaidi na aliyekuwa nazo kidogo ila nijuavyo mimi ni kuwa wote ni pu**u tu maana kama wangekuwa na akili wasingekubali kwenda kubebeshwa mabox na wazungu na wengine kuolewa na bibi vizee kwa tamaa ya maisha rahisi
Swadaktaaa.........
mbona tangu waende huko hakuna aliyerudi na technology yoyote hata ya kutengeneza pamba za kuchokoa masikioni.sana sana wakirudi huwa wanarudi na mitindo ya mavazi na huku wengine wamebadilisha hata miondoko ,shame on them
Yuu wora am seyin...snikers,miwani ya jua usiku.....
 
kabisaaaaaa....au kaachwa na XXXl lake au madeni yamemzidi....jamaa yuko very lowa sana kwenye post zake.......lakini tutaenda nae taratibu JF ni kama kokoro hata hawa hawakosekani....

Wewe dizaini ni mbongo wa yuropu wewe......huna akili
 
Wenye akili ni wale wote wanaokumbuka kwao.Wanaotoa michango ingawaje ya mawazo ili kuikomboa nchi yetu.

Wale wote wanaorudi nyumbani angalao mara moja kwa miaka mitatu.

Kwa vigezo hivyo wale wa ulaya wana akili zaidi
 
Spika alipoambiwa alimkosea adabu alipoikuwa anamshukuru rais aliwajibu kuwa
hiyo hoj ni UPUUZI MTUPU

mtu kafanya utafiti wa KIPUUZI badala ya kutoa matokeo yake anwauliza watu as if bado anaendelea na utafiti.

hao unaowasema unajumuisha watu wote au wa JF yako?

SNadhani wanaokaa BONGO ndio wana akili zaidi, na sisi tunaokaa Australia hatujasema bado
 
Spika alipoambiwa alimkosea adabu alipoikuwa anamshukuru rais aliwajibu kuwa
hiyo hoj ni UPUUZI MTUPU

mtu kafanya utafiti wa KIPUUZI badala ya kutoa matokeo yake anwauliza watu as if bado anaendelea na utafiti.

hao unaowasema unajumuisha watu wote au wa JF yako?

SNadhani wanaokaa BONGO ndio wana akili zaidi, na sisi tunaokaa Australia hatujasema bado

Spika alipoambiwa alimkosea adabu alipoikuwa anamshukuru rais aliwajibu kuwa
hiyo hoj ni UPUUZI MTUPU

mtu kafanya utafiti wa KIPUUZI badala ya kutoa matokeo yake anwauliza watu as if bado anaendelea na utafiti.

hao unaowasema unajumuisha watu wote au wa JF yako?

SNadhani wanaokaa BONGO ndio wana akili zaidi, na sisi tunaokaa Australia hatujasema bado
 
sijaelewa maana ya mwenye akili zaidi na aliyekuwa nazo kidogo ila nijuavyo mimi ni kuwa wote ni pu**u tu maana kama wangekuwa na akili wasingekubali kwenda kubebeshwa mabox na wazungu na wengine kuolewa na bibi vizee kwa tamaa ya maisha rahisi,mbona tangu waende huko hakuna aliyerudi na technology yoyote hata ya kutengeneza pamba za kuchokoa masikioni.sana sana wakirudi huwa wanarudi na mitindo ya mavazi na huku wengine wamebadilisha hata miondoko ,shame on them

Spika alipoambiwa alimkosea adabu alipoikuwa anamshukuru rais aliwajibu kuwa
hiyo hoj ni UPUUZI MTUPU

mtu kafanya utafiti wa KIPUUZI badala ya kutoa matokeo yake anwauliza watu as if bado anaendelea na utafiti.

hao unaowasema unajumuisha watu wote au wa JF yako?

SNadhani wanaokaa BONGO ndio wana akili zaidi, na sisi tunaokaa Australia hatujasema bado
 
Spika alipoambiwa alimkosea adabu alipoikuwa anamshukuru rais aliwajibu kuwa
hiyo hoj ni UPUUZI MTUPU

mtu kafanya utafiti wa KIPUUZI badala ya kutoa matokeo yake anwauliza watu as if bado anaendelea na utafiti.

hao unaowasema unajumuisha watu wote au wa JF yako?

SNadhani wanaokaa BONGO ndio wana akili zaidi, na sisi tunaokaa Australia hatujasema bado

Nyinyi wa Australia ni zero kabisa........
 
Wewe dizaini ni mbongo wa yuropu wewe......huna akili
Kijana una matatizo mengi ya kisaikolojia......
1:umeachwa na XXXL lako.
2:Madeni.......
Tutakusaidia tu.....

Kwanza nikuulize kuwa na akili maana yake ni nini?
 
Hey Nyani McCain, how about you startin' they Nyani clothin line in Bongo, somethin' like "Kane McNyani Wear"? I won't be surprised if your fan-base in Bongo turns out to be 100 times larger than Masoud Kipanya's KP Wear Chinese-made crap. I mean you could be earnin' they top dollar you know? At least enough to last you, your 3 half-nyani, half-human sons and their human mum a lifetime of bananas, peanuts and all the candy you can eat! What says you Nyani McCain?

Zamani ilikua rahisi sana kumtofautisha Nyani na Njabu.... siku hzi nyote mnafanana !!! kuna mmoja wenu karudi chini kiasi kwamba anafanana na yule mwingine aliyekua chini tangu zamani..... Naona mrudishe ile thread yenu mlokua mkitupiana maneno hapa si mahali pake
 
Kijana una matatizo mengi ya kisaikolojia......
1:umeachwa na XXXL lako.
2:Madeni.......
Tutakusaidia tu.....

Kwanza nikuulize kuwa na akili maana yake ni nini?

Ulinipima na kunifanyia uchunguzi ukagundua kuwa nina matatizo?

Eti nimeachwa na XXXL langu....wewe dizaini unaishi maeneo ya midwest....I can tell from your choice of words....

Madeni...wrong....I'm swimming in guap......stacks on deck baby.........

Next.............
 
Back
Top Bottom