wapi wanayo exchange rate nzuri?

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,182
6,216
Ndugu wanajf naomba munijuilishe ni sehemu gani haswa hapa dar wana exchange rate nzuri ya dollar, pia katika mikoa mengine wapi ntaweza kununua dola kwa bei nzuri. Kama kuna websites za bureau de change za TZ pia naombeni mziweke kwa alienazo
 
I would imagine that sehemu yenye bureau de change NYINGI ndipo pana ushindani, hence rate nzuri. Kwa mfano, pale mlimani city ipo moja tu, so, rate yao si nzuri saaaaaaaana japo ni nzuri as compared na bank. Lakini pia haina tofauti ya kutisha sana na rate za mjini, especially kama unataka kuchange dollar kidogo (tofauti inaweza kuwa 20 at maximum)

So, we nenda Kariakoo, Mnazi mmoja au Posta. Mimi huwa nachange pale Mnazi mmoja (kama nina dola nyingi).
 
Back
Top Bottom