Wapi Wanayeyusha Shaba?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Nimetembea Kwa Masonara Wanasema Kopa Haiyeyuki. Labda Hawana Vifaa Vya Kuyeyushia. Nilinunua Bangili Kwa Masai Sasa Nataka Nitengeneze Pete Fulani Hivi Ya Kidini. Wapi Naenda?
 
Back
Top Bottom