Wapi wanalima vilelemutuz kwa dar (bamia) kwa wingi?

Dar hakuna shamba mkuu, ni vibustani tu, mimi binafsi ninaotesha bamia, ila ni kwenye kibustani tu na siwezi ita shamba,
 
Jamani hebu tumwache lemtuz apumzike/apumue hakupenda kuwa na kibamia na kumbukeni kuwa aliyekupa wewe ndiye aliyemnyima yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom