Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 562
- 1,969
Ndivyo ilivyo ni Nzuri kiasi chake maana hukuweka free ni maisha yaliyopo sana marekani (loneless life) japo huleta mkazo (depression)nahisi hasara zake ni nyingi sana kuliko faida zake
Maana mtu akinitembelea naona kama ananinyima amani
Watu wanapendelea kutembelewa na wageni mimi sitaki
Naweza nikamtongoza msichana leo baada ya siku mbili nikajikuta namchukia tu baada ya hapo nafuta namba na mazoea nae nakuwa sitaki kabisa
NI MATESO
Ili ukwepe kupatwa na mkazo (depression) inabidi uwe na ofisi au kama hata ukaapo ghetto kama una online business hauwezi patwa na depression maana utakuwa na kitu kitakacho kuweka busy kidogo uwapo ghettoni kwa sababu mkazo ni mbaya Sana kuliko sadness wewe sasa hivi Upo kwenye hatua ya huzuni sadness jitahidi kufanya kama niliyo kueleza hapo juu ili usipatwe na depression mkazo/msongo wa mawazo.
Pia Ni maisha ambayo ni ngumu adui zako kukujua kiundani zaidi.