wapi nitapata scholarship ya masters degree

Nenda ubalozi wa Netherlands kaulizie kama bado ujachelewa deadline,huwa wanatoa.
 
ulivyokuwa unafanya maombi ulijua utasoma kwa njia ipi ya malipo kwa hayo masomo? kweli wewe ndo naenda kufanya msc mmmh kazi tunayo
 
byembalilwa nawe ucnichekeshe,kwan unataka kuniambia kua kila mwenye degree ana uhakika wa kazi?ni kumwomba Mungu,mkuu kama umepata chanc ya masters go for it maana mtaani hakuna issue yani
 
Back
Top Bottom