Wapi nitapata malighafi za kutengenezea sabuni ya maji jijini Dar es salaam?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile:
(a) Sulfonic Acid
(b) Slesi
(c) Soda ash
(d) Alca 2
____________________H2O
(e) Glyceline ya sabuni ya maji
(f) perfume za sabuni
(g) DMH (Durability)
(h) Rangi ya sabuni
(i) Chumvi (Heavyness)
_________________4 hrs

Pia kwa mtu anayefahamu vipimo halisi vya mchanganyiko huo aweke hapa kwa utengenezaji wa sabuni ndoo 20 litres
 
Nenda machinga complex Kila kitu utakipata...ila kwenye swala la formula ni darasa ambalo unatakiwa ulipie... hakuna mtu anaweza kukuwekea hapa formula...!

Upo sehemu gani...?​
 
Nen
Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile:
(a) Sulfonic Acid
(b) Slesi
(c) Soda ash
(d) Alca 2
____________________H2O
(e) Glyceline ya sabuni ya maji
(f) perfume za sabuni
(g) DMH (Durability)
(h) Rangi ya sabuni
(i) Chumvi (Heavyness)
_________________4 hrs

Pia kwa mtu anayefahamu vipimo halisi vya mchanganyiko huo aweke hapa kwa utengenezaji wa sabuni ndoo 20 litres
NEnda kkoo maduka yapo kibao
 
Mkuu, kaa kwa kutulia, wajuvi wa mambo watakuja kuweka hapa. Wala usijali
Haya wakija uni tag...! Cha kukusaidia ukifika hapo machinga complex...atakae kuuzia hizo material muombe akukutanishe na mwalimu mazuri...!

Hata kama KunA mtu atakupa formula hapa bila vitendo huwezi kufanikisha...! Kwenye kuitafuta elimu kitu kinacho itwa GHARAMA hakiepukiki...
DSC_0008_Moment(2).jpg

Hizo unazo ziona mezani hapo sio vitenge ni Bhatiki. Na hiyo unaona amevaa huyo mwanamke pia ni Bhatiki. Kwa hiyo ujasiriamali Mimi naufahamu kindaki ndaki mkuu...!

Formula ya kuisoma mtandaoni ni tofauti kabisa na formula utakayopewa kwa vitendo unless otherwise uwe hutaki kufanya ujasiriamali kama kazi...!

Lakini kingine Rafiki yangu hizo zote hapo ulizo andika ni chemical ambazo ni sumu kubwa sana. KunA ambazo zikiwekwa kwenye maji ya baridi yanaanza kuchemka. KunA ambazo zikigusa chuma muda huo huo kinapata kutu.

Umeona...! Vitu hatari kama hivyo sio vya kuvisoma mtandaoni tafuta mwalimu umlipe akufundishe...! Usifanye mchezo na chemical reaction...!​
 
View attachment 2921796

Well said 👏 👌 👍
Sumu vibaya mno.

kama usipolipia elimu kaa ujue Ujinga unalipiwa pia - By
Gily Gru
 
Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile:
(a) Sulfonic Acid
(b) Slesi
(c) Soda ash
(d) Alca 2
____________________H2O
(e) Glyceline ya sabuni ya maji
(f) perfume za sabuni
(g) DMH (Durability)
(h) Rangi ya sabuni
(i) Chumvi (Heavyness)
_________________4 hrs

Pia kwa mtu anayefahamu vipimo halisi vya mchanganyiko huo aweke hapa kwa utengenezaji wa sabuni ndoo 20 litres
Texas viko vingi tu mtaa wa Westend 107.
 
Back
Top Bottom