Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Habari za leo wana Jf Poleni na mhangaiko ya hapa na pale. Napenda kuuliza ni dukagani hap Dar linauza Digital Cameras na Camcoders KWA BEI NAFUU. Msaada wenu ni muhimu sana kwangu. Natanguliza asante zangu nyingi.