Jbst JF-Expert Member Nov 29, 2020 1,926 3,951 Mar 15, 2023 #1 Naomba kufahamu ni sehemu gani naweza pata lyrics ya nyimbo zote za kibongo. Mfano wanyee by baba levo. Lyrics yake naweza kuipata wapi?
Naomba kufahamu ni sehemu gani naweza pata lyrics ya nyimbo zote za kibongo. Mfano wanyee by baba levo. Lyrics yake naweza kuipata wapi?
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Aug 16, 2016 2,018 3,518 Mar 15, 2023 #2 Natafuta ya Kali p."tumbo joto Wewe mama kibonge wewe ,unauza gongo wewe,alafu unasema maji ya kunywa ,uongo?unabisha?unakiona mjanja wewe
Natafuta ya Kali p."tumbo joto Wewe mama kibonge wewe ,unauza gongo wewe,alafu unasema maji ya kunywa ,uongo?unabisha?unakiona mjanja wewe
dronedrake JF-Expert Member Dec 25, 2013 23,220 54,880 Mar 15, 2023 #3 zwenge ndaba said: Natafuta ya Kali p."tumbo joto Wewe mama kibonge wewe ,unauza gongo wewe,alafu unasema maji ya kunywa ,uongo?unabisha?unakiona mjanja wewe Click to expand... Nilikua naimba hivi, wengine nao viwandani, wengine nao viwaselo, etc
zwenge ndaba said: Natafuta ya Kali p."tumbo joto Wewe mama kibonge wewe ,unauza gongo wewe,alafu unasema maji ya kunywa ,uongo?unabisha?unakiona mjanja wewe Click to expand... Nilikua naimba hivi, wengine nao viwandani, wengine nao viwaselo, etc