Wapi naweza kununua mbuzi kwa bei nafuu?

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,188
2,465
Wakuu habari za kutwa,

Samahani naomba mwenye uelewa anisaidie.Kati ya vingunguti,Pugu na Madizini wapi ninaweza kunununua mbuzi (1) tu kwa bei nafuu zaidi?

Na kwa sasa bei ya mbuzi ni wastani wa shilingi ngapi?

Asanteni.
 
Pugu ni mnadani ila mshikemshike hauiwezi plus usafiri ni yaleyale

Kama mdau anavyosema angalia ukaribu wa sehemu ulipo ili umbali wa usafiri uwe nafuu
 
Back
Top Bottom