Wapi huduma ya unlock iphone 4, 4s 3gs na 5

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
Naomba anayejua mahali wana unlock hizo Iphone na bei zake!!
 
Je, unataka kufungua iphone4, 4s, 3GS na 5? Kwanza unaweza kutembelea tovuti hii WickedUnlock.com hapa unaweza kupata kijijini huduma kurejelewa na kufungua iphone4 yako, 4s, 3GS na 5 kwa urahisi.
 
Wakuu mm naomba msaada namna ya kutoa pin Simu ya blackbery ili niweze kutumia vifurushi vya kawaida vya mitandao na sio wireless network tu
 
mie pia wakuu nina blackberry z10 ila inazingua kinyama,haitaki kuunga bundle ya blackberry na pia nikitaka kubadirilisha picha kwenye profile whatsapp ni shida inagoma inatokea plain page hakionekani chochote,hawa blackberry miyeyusho sana,msaada please wakuu😔


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
last resort: nicheki kwa 0763969066. Ntakutolea lock kuanzia iphone 4 kushuka chini kwa 30,000/= tu
mkuu unafanya Temporary Unlock au Factory Unlock? ntaweza kuUpgrade IOS baadae bila simu kujilock tena?
 
Nop sio temporary bt ukiupgrade itabd unlock tena sababu utakuwa umefuta kila kitu kwa phone
kama simu itapoteza network ninapo upgrade IOS hapo si ntakuwa sijafanya factory unlock. kwahiyo unaUnlock temporarily tu sio permanently?
 
kama simu itapoteza network ninapo upgrade IOS hapo si ntakuwa sijafanya factory unlock. kwahiyo unaUnlock temporarily tu sio permanently?
ok simply ni kwamba wanaoweza kufanya factory unlock ni apple wenyewe tu yoyote yule mwmgn atakuwa ni vendor tu. Aplle wakisha whitelist simu yako kwenye data base yao hata ufanye upgrade gani haitachange kitu,ila hapo itakucost sana tu,if i'm not mistaken its nothing less than a hundred thou...........anyway mimi huko sipo,natoa lock kwa iOS iliyopo kwny simu yako tu.
 
Back
Top Bottom