wapi hapa?

8.jpg

Hapa sehemu za Uyole-Mbeya unapoanza kupambana na milima ya kuelekea Tukuyu/Kyela
 
Naomba nikupe mji uniambie kuwa hapo ni wapi....maana nimeipenda hiyo mandhari yake.
Ukiniambia ni wapi, nataka nikatembelee maana naona kuna hewa safi..... Nenda Abu Dhadi

Abudhabi ni kuzuri lakini siendi nipe mji mwigine
diamond+ring+hotel+in+abu-dhabi10.jpg
images
Abu_Dhabi_International_Airport%5B1%5D.JPG
 
hili snepu ni boge la kumbumkumbu za longi wadau wenye masnepu ya longi wayatumbukize hapa jamvini ili tupate kujikumbusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom