Msaada: Kwa hapa nchini naweza kupata wapi mafunzo ya ngumi?

Habari,

Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.

Naomba kufahamu kwa hapa Bongo naweza wapi kupata mafunzo ya ngumi, karate, kwa ujumla mafunzo ya kujiweka physically fiti hata kwa mwaka mzima au miezi kadhaa ,yaani niive.

Msaada wenu please!
unataka kujifunza ngumi ndoige kama mandonga mtu kazi sio 🐒
 
Habari,

Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.

Naomba kufahamu kwa hapa Bongo naweza wapi kupata mafunzo ya ngumi, karate, kwa ujumla mafunzo ya kujiweka physically fiti hata kwa mwaka mzima au miezi kadhaa ,yaani niive.

Msaada wenu please!
Hzo karate zinaendana na umri..

kama viungo vyako vimeshakomaa utajitesa bure
 
Habari,

Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.

Naomba kufahamu kwa hapa Bongo naweza wapi kupata mafunzo ya ngumi, karate, kwa ujumla mafunzo ya kujiweka physically fiti hata kwa mwaka mzima au miezi kadhaa ,yaani niive.

Msaada wenu please!
Upo maeneo gani?

Kwa boxing ni rahisi zaidi kujua na ni rahisi zaidi kupata walimu.

Hiyo michezo mingine inahitaji sana muda.
 
Back
Top Bottom