Wapi Deus Kibamba na Jukwaa la katiba?

1800

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
2,215
603
Wanajamvi hivi Deus Kibamba na jukwaa la katiba kwa ujumla wameishiwa wapi?sijawasikia kwa muda mrefu sana,au harakati ndio zimefikia ukingoni?
 
Amerudi kwa kituoa chake cha kazi .... muulize RO
 
tangu cdm wapate juisi pale magogoni na wao shughuli imekwisha.walikuwa wanatumika na cdm na wale wazungu koko wa scannavia hawawapi mshiko ndomana waona jamaa yupo kimya.
 
Njaa jamani njaa. ukiona mtu anachonga sana jua kunasehemu kaahidiwa mkate, otherwise hutamsikia. kweli njaa jamani njaa ni mbaya sana. Ewe mungu tuepushie mbali na hawa wanaharakati njaa wetu.
 
Tunvuta pumzi / wanasheria wetu wanashughlikia kesi ya msingi kwanza
 
Kapewa bahasha yake anasubiri kuhamasisha watu waunge mkono kutoa maoni! Kaahidiwa kuwepo kwenye bunge la katiba.
 
Wanajamvi hivi Deus Kibamba na jukwaa la katiba kwa ujumla wameishiwa wapi?sijawasikia kwa muda mrefu sana,au harakati ndio zimefikia ukingoni?

Ndugu,

Deus yupo na jukwaa lipo. Jukwaa linaendelea kujipanga vizuri, Kwa uhakika zaidi tafadhali tembelea ofisi zao zilizopo Mwenge nyuma ya TRA hasa siku ya Jumapili (22.01.2012) kuanzia saa nne asubuhi kwani watakuwa na mkutano na waandishi wa habari.

Mambo mazuri hayataki haraka, yote yatajulikana hapo. Njoo utoe dukuduku lako!
 
Nashukuru kwa taarifa hizi za kutia moyo mkuu!
 
Deus kweli bado yupo na kama unafuatilia mambo ni kwamba hata jana walikuwa na kikao pale ubungo plaza kujadili mambo haya haya ya katiba na Deus ndiye aliyekuwa anaendesha kikao hicho.

Sio vizuri kuongozwa na hisia. Kama huna uhakika na kitu ni bora kuuliza kuliko mtu kuanza kuweka hitimisho lako!
 
Sijaweka hitimisho mkuu,nilichofanya nikuuliza wanajamvi ili nipate kujuzwa,maana sijalisikia jukwaa siku nyingi na mimi ni nafuraishwa sana na mada zitolewazo na jukwaa la katiba,muda mwingi mimi nipo pembezoni mwa nchi,labda ndio maana hata hiyo taarifa za jana sikuwa nazo!nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom