Watu wanawaza interest rate na kutupilia mbali inflation rate, pia ajaribu to discount hiyo 100m atakayorudishiwa for next five year ajione alivyolamba hasara.Laki 6+ kwa mwezi kwa kuwekeza mil. 100 ni fedha kidogo hasa ukitilia maanani sh ya Bongo inavyoanguka na vitu kupanda bei kila kukicha. Hapo mwaka mmoja umepata kwenye mil 8 hivi kwa makadirio. Biashara kichaa hii ila ni njia nzuri ya kuhifadhi fedha zako wakati unatafuta cha kufanya. Angalau baada ya mwaka uwe umeshapata cha kufanya.
Watu wa hati fungani hawatafungua mdomo kwenye inflation rate, discounting ya hiyo principal amount and opportunity cost .