Wapi bora kuwekeza: Fixed rate, BOT Bond, UTT?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,367
5,637
Wadau naomba ushauri, nimedunduliza kama 50 Million Tsh, nataka niwekeze sehemu nipate vijisent kabla yakuingia kwenye biashara.

Je, wapi sasa ni pazuri kuwekeza na kwanini? eg Fixed rate..benk ipi?, BOT bond au UTT? Na kama UTT, je ni mufuko upi wa UTT ni nzuri inakupa rate nzuri kwa mwaka
 
It is very possible kama after a.year akiamua kwenda kuuza hiyo bond katika secondary market. Japo huu utakuwa si uwekezaji mzuri.
True anaweza kununua bond ya miaka 2 na baada ya mwaka akauza kwenye secondary market!
 
Wadau naomba ushauri, nimedunduliza kama 50 Million Tsh, nataka niwekeze sehemu nipate vijisent kabla yakuingia kwenye biashara. Je wapi sasa ni pazuri kuwekeza na kwanini? eg Fixed rate..benk ipi?, BOT bond au UTT?. Na kama UTT, je ni mufuko upi wa UTT ni nzuri inakupa rate nzuri kwa mwaka
Wekeza kwenye Bonds. Matajiri wengi ndo michezo yao hii
 
Back
Top Bottom