Wapi big screen -World Cup

Njoo kwangu unaangalia bure kinywaji utapata bure msosi ukitaka unapata bure.............pako comfortable kweli kukidhi mahitaji yako
 
Njoo kwangu unaangalia bure kinywaji utapata bure msosi ukitaka unapata bure.............pako comfortable kweli kukidhi mahitaji yako
Hivi nyinyi mmekuja na mbinu mpya ya kutafuta viungo vya watu au?
location yako ni:Home/Office/Bar/Saloon!!
Naruhusiwa kuja na bouncer?kuna kitu ungeongeza hata kujibu nisingejibu,ungenikuta mlangoni,litakalotokea na liwe!
Nime ku PM!
 
Nimesikia Coca Cola wamefunga Big Screen nje pale Mlimani City
 
Duuuuu!
Mkuu YegoMasika!
BTHW jina lako naona ni kama la kivuvi-hamna shida.
Niliangalia lokesheni yako nikaona uko ziwani-MZA.
Nikaogopa ukarimu wako -nikaona nisije kukatwa kiuongo
Sasa unasema mvuvi, huji huku mpaka mbalamwezi-aaagh.
Naomba kuuliza hiyo Tandika Maguruwe ni DSM au ni huko ziwani?au jioni ya leo una fly kwa ungo kuja kuangalia katika waliokaribishwa kama kuna anayefaa kunyofolewa?-ahaaaaaaaaaha.
Humu JF mtu usipoangalia humu????????:amen:
Wewe bana unatakiwa uishi na wavuvi ndio ujue utaratibu wao wa maisha, nyumba kubwa unakuwa nayo kwenye shughuli za uvuvi~nyumba ndogo ipo town, usafiri ungo, and life goes on!. Kwa hiyo Tandika Maguruwe ni kwa shemeji yako mdogo huko!.
 
Nenda Club Ambience Africa Sana ama Meeda iliyopo Sinza, maeneo haya utapata big screen na vinywaji, chakula, mashabiki kibao utawakuta na hata wale dada zetu watakuwepo.
Hao ndo wananogesha mpira na kuutoboa mfuko wakati huu wa tarehe dume!!I'll watch in my local bar Le Pub Loure ndani ya Keko kuna BIG screen ambayo hata macho macho ya mlevi yanaweza kumwona vyema makoena
 
M-PM Pearl kwa habari zaidi kuhusu hii Pub yetu - Shida ni parking!
 
Back
Top Bottom