Wapi big screen -World Cup

Katabazi

JF-Expert Member
Feb 18, 2007
353
19
wana JF,
Natamani na mimi nikaache ka TV kangu (size yake nakajua) ila ningetaka sehemu ambapo WC itaonyeshwa LIVE kwenye big screen na penye washabiki. DAR popote nitakwenda ingawa prefarable city centre,Upanga,Oysterbay, mpaka njia ya Mwenge/Mbezi maana nitakuwa naelekea kwetu.Kulipa nitakuwa tayari.
Thx.
 
Karibu nyumbani kwangu Tandika Maguruwe!.
 
kwa kweli mimi leo nitachelewa sana kutoka kwa ofc, naomba kama kuna mtu anajua link yoyote ambayo itaonyesha online animwee hapa,
ili moja ya pc yangu kazi yake iwe ni kuonyesha WOZA
 
Duuuu na wewe kwako wapo/unafuga??Mm dini yangu hainiruhusu-nakushukuru kwa kuwa tayari kunichanganya na hao jamaa bahati mbaya siruhusiwi.
Hao wadudu hutawaona~I will keep them far away from you, sana sana ntakutayarishia popcone na juice ya miwa, what about that buddy!.
 
wana JF,
Natamani na mimi nikaache ka TV kangu (size yake nakajua) ila ningetaka sehemu ambapo WC itaonyeshwa LIVE kwenye big screen na penye washabiki. DAR popote nitakwenda ingawa prefarable city centre,Upanga,Oysterbay, mpaka njia ya Mwenge/Mbezi maana nitakuwa naelekea kwetu.Kulipa nitakuwa tayari.
Thx.

nenda mbezi base pub au Rainbow karibia na flat za BOT au nenda slip way kote huko mabig screen
 
Nadhani TBC watafunga baadae pale Biafra Knondi au Mnazi mmoja subiri mambo yachanganye na vingamuzi vyao vidode kwanza!.Zanzibar wao wamefungiwa na Zantel zakutosha tu kuwapa watu burudani
 
Nadhani TBC watafunga baadae pale Biafra Knondi au Mnazi mmoja subiri mambo yachanganye na vingamuzi vyao vidode kwanza!.Zanzibar wao wamefungiwa na Zantel zakutosha tu kuwapa watu burudani
Hivi vingamuzi ndio vitu gani?~Decoder?. Kama ndio hivyo wanauza bei gani?.
 
Hivi vingamuzi ndio vitu gani?~Decoder?. Kama ndio hivyo wanauza bei gani?.
Ndio decoder mwana..tembelea humu kwa sport thread kuna sehemu inamaelezo mengi yakuhusiana na hizo decoder..bei kuanzia 70,000-120,000/-
 
Ndio decoder mwana..tembelea humu kwa sport thread kuna sehemu inamaelezo mengi yakuhusiana na hizo decoder..bei kuanzia 70,000-120,000/-
Shukrani sana Senator, si unajua sisi wavuvi shughuli zetu~kuja mjini mpaka kipindi cha mbalamwezi, kipindi cha giza uvuvi mtindo mmoja.
 
[COLOR=Red said:
Yegomasika[/COLOR];948024]Shukrani sana Senator, si unajua sisi wavuvi shughuli zetu~kuja mjini mpaka kipindi cha mbalamwezi, kipindi cha giza uvuvi mtindo mmoja.
Duuuuu!
Mkuu YegoMasika!
BTHW jina lako naona ni kama la kivuvi-hamna shida.
Niliangalia lokesheni yako nikaona uko ziwani-MZA.
Nikaogopa ukarimu wako -nikaona nisije kukatwa kiuongo
Sasa unasema mvuvi, huji huku mpaka mbalamwezi-aaagh.
Naomba kuuliza hiyo Tandika Maguruwe ni DSM au ni huko ziwani?au jioni ya leo una fly kwa ungo kuja kuangalia katika waliokaribishwa kama kuna anayefaa kunyofolewa?-ahaaaaaaaaaha.
Humu JF mtu usipoangalia humu????????:amen:
 
Nenda Club Ambience Africa Sana ama Meeda iliyopo Sinza, maeneo haya utapata big screen na vinywaji, chakula, mashabiki kibao utawakuta na hata wale dada zetu watakuwepo.
 
Back
Top Bottom