WAPENZI WA SOCCER (Barcelona India Version)

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
Masela wanatesa sana pande za Tamil Nadu ..! kombe ya mbuzi! Juzi kati walimpiga Delhi United bao 6


396850_149989011782538_100557246725715_219547_1230223465_n.jpg

 
haha kocha kapiga kubazi ... wachezaji njumu na rangi za soksi kila mtu ya kwake ...
 
hahahaaaaa, yani kila nikiangalia hii picha nacheka mwenyewe.... villa anaonekana kama amekumbuka kitu hivi sijui ni hom au kitaa
 
Nimewakubali Xavi na Iniesta..kwa jinsi walivyo balaa wamepiga tracksuit kudadadeki..!
 
Duh. Kumbe hapo waliposimama ndio uwanja wenyewe? Hii kali
 
hahaha Keita kajichubua halafu akabaa wigi na Barcelona wakiiona hii wanaenda ICC the Hague.
 
Back
Top Bottom