Wapenzi kuoga pamoja

Ngoja aendelee na ubishi wake kwani akioga na mkewe atakufa au atapungua? mambo mengine bhana!
 
huyo mwanaume amezidisha uprimitive, nahisi hata kunyonyana mate na mke wake hataki pia. maana katika ndoa kila jema alitakalo mke wako ni sherehe kwako. kuoga pamoja inasaidia kupandisha mizuka, mnaweza anzia bafuni mkaenda kumalizia kitandani.

mapenzi sio ubishoo, usilete sheria na kuuliza mbona hii mboga sijawahi kupikiwa, kwani uliambiwa umefika duniani ukijua kila kitu? aache ujinga afuate kama alivyoambiwa na mkewe
 
Sasa maana ya mke ni nini?

Anachoogopa ni nini!

Huyo jamaa yako vipi?!

Ndio maana ananyimwa unyumba.

Sasa hayo si ndio mambo yenyewe, kuna wakati huko huko kwenye kuoga mnapeana na unyumba, yaani raha mpaka basi sababu inakuwa hamjapanga, mnastukia mko kwenye miondoko ya funza.

Huyo jamaa yako kaniudhi sana
 
Kuoga na mkeo kunapunguza nyege,unajua hata kama ni mkeo ukimchungulia wakati anaoga mshawasha unakuwa mkubwa the vice versa is true trust me
 
Kuchunguliana mikund... ndio kazi gani sasa unaweza kukuta maji ya kuoga yapo kwenye karai kujibinua binua mwisho utamjambia mwandani wako!!! Huu uzungu wenu! alaf mwili wa mkeo hutakiwi kuuona mara kwa mara utauchoka na homon zikagoma! !
 
Hapo niku oga tu, je akiombwa azame chumvini?? Huyu ni -----, wife ana onyesha mahaba lina jifanya NKURUNZIZA
 
Watu wengine banaa..kwanza unakaaje miaka mitatu hujaoga na mkeo?! Unatafuta unabii au?
 
Back
Top Bottom