Wapare na channel ten!

Mbona wanyakyusa walipokuwa wengi NIC watu walilalamika?Hata hivyo nadhani ni mapenzi ya watu wenyewe kwani jeshini wengi ni kutoka kule kwenye ugomvi usiokwisha,mapanga,marungu,kuibiana ng'ombe n.k
Sasa hivi utakuta wachaga wengi ni wahudumu wa mabaa,madanguro,na sehemu mbalimbali za starehe!
Hayo mambo ya kule ugomvi usikosha yametokea wapi?
Nitakutafuta jioni....:mad2:
 
Mkuu mimi napingana na wale wanaosema ume backup madai yako. Huwezi kutaja wafanyakazi watano ambao ni wapare na kusema wana pendelewa. Lazima ueleze kwanza wafanyakazi kiujumla wapo wangapi na ratio ya wafanya kazi wapare na wasio wapare ni ngapi. Hao watano ulio watoa kutokana na maelezo yako they are nothing but isolated incidences au coincidences.

Pia ukisha toa uwiano wa wafanyakazi na makabila wengine lazima utoe ushahidi kuwa hao Wapare walio ajiliwa wame ajiliwa kiupendeleo. Je kama tayari nina idadi fulani ya wafanyakazi wa kabila fulani nitangaze kwamba siajiri tena wafanyakazi wa kabila hilo ili wasijae? Nao huo hauta kuwa upendeleo unao dai kupinga na wewe.

Imefika wakati tukitoka na mada kama hizi tuambatane na ushahidi wa kutosha. Ndiyo maana Tanzania watu wana changanya investigative journalism na gossip. Kama umeona kasoro chunguza na kuja na maelezo ya kutosha. Hauwezi kuweka madai yako public bila maelezo na ushahidi wowote.

Ahsante sana kwa hoja zako zenye mantiki, mashiko na akili. Hapa JF kuna watu ambao wanatia hofu si elimu zao bali uwezo wao wa kufikiri.
Hivi nikiwa na kampuni X, nikaajiri wafanyakazi 100 na wote majina yao na ubin wao ukawa ni, John, Hamisi, william, hadija,Hussein, Patrick, George, Juma, William, Lilian, Mwanvita, Leons, Twaha, Hussein, Bernard, Benadeta etc Kampuni yangu itakuwa na watu wa KABILA GANI!

Hivi nikiwa na kampuni yangu ya magari nikaajiri masinga singa asilimia 90% nitakuwa nimekosea nini, maana wagogo si fani yao na kwanini nimuajiri singa singa kwenye ranchi badala ya mgogo. Hiyo channel ten ina wafanyakazi wangapi, na kama kuna watu wenye sifa hasa tukijua kuwa ni kampuni binafsi kuna tatizo gani!
Kama huna hoja kaa kimya si lazima ukae katika key board na kuandika upupu usio na tafiti au mantiki. Wewe uliyeanzisha hii thread ona aibu hata ukiwa chumbani kwako peke yako, maana unaidhalilisha akili yako! ni ushauri tu.
 
unaanzaje kuchunguza majina ya watu kama ivyo, kutaja wafanyakazi watano tu kwenye organisation ya watu zaidi ya mia si picha halisi pengine kunaweza kua kuna wafanyakazi wa kabila lingine wengi tu hapo channel ten isipokua wao si watangazaji!
 
Ukiona hivyo ujue boss (CEO) ni Mpare; tena hawa kwa nepotism au ukabila ni kati ya wanaoongoza!!! Sio hapo tu angalia kote ambako CEO ni mpare waweza kuta si chini ya 1/3 ya staff ni Wapare na hapo ofisini majungu ni aina muhimu ya kuwasiliana!!!!!!

Operations Manager = Hamza Kasongo (Muha - Kigoma)

Technical Manager = (???)

Chairman = (Muhindi)

HR Manager = (Adeline : Mchaga)
 
Unajua kabila hili wanaongea vizuri sana wakati wa kutangaza ndio maana wapo hapo ("maza tang", yao inavutia kama ya wale wa kutoka Tanga), nenda TBC kuna akina Mhando wengi . hakuna ukabila hapa.
Nyie ndugu zangu mjifunze mabadiliko, siku hizi hata Jaluo anaimba Taarab, mkubwa.......................
Lalama weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wenzako wanaenda mbele
 
Mnaona Channel ten tu je ITV ni lazima uwe mchaga???, pale Channel ten kuna makabila mengine kama Cyprian Musiba licha ya kuwa asilimia kubwa ni wapare ana pia pale ITV kuna watangazaji makabila mengine kama Godwine Godwe ila wengi ni wachaga.Mambo ya Ngoswe tumuachie Ngoswe mwenyewe.

Kweli hii Tonge? Sijawahi kusikia jina la kichagga pale ITV zaidi ya Mengi mwenyewe.
 
Nijuavyo CH TEN ni ya yule muitaliano unless kama kaiuza.
Tena nasikia kwa wanadada kupata ajila pale ni mpaka ug.................... najua ni common kwa makampuni mengi but I hate hii tabia inavuruga ufanisi kazini kabisaaaaaaaaaa.
Unakuta demu kisa anakanyagwa na bosi unamwabia kitu anakomaa kisa bosi atamkingia kifua.Kuna mahara nilishawai kuresign bse of that mdada mwenyewe kichwa cha kuku kila kitu anaboronga kumbe ukifuatilia ni mzuri katika majambozi.Sasa si kheri umfanye nyumba ndogo au house girl
 
tuna bahati hako kabila ni kadogo nchii, kwa uzoefu wangu, sijaona jamii yenye ukabila hapa tanzania kama hako ka kabila, kuna wizara fulani nyeti, kuna limama limoja liliacha limewaka wapare wenzake likishirikiana na kaka yake fisadi fulani aliyekuwa katibu mkuu, limehamia wizara nyingine linaendeleza hayo hayo na kuondoa liliowakuta wenye uwezo..they are fags!!!!! Waombewe wajifunze!


kaazi kweli kweli....
 
Wadau mimi naomba kuuliza hivi ukiwa mpare inakuwa rahisi sana kupata kazi channel ten eeh!
au ndio sifa mojawapo ya kuajiriwa pale?
hebu ona watangazaji wao.......................................salma msangi mziray,semvua msangi,upendo msuya,mcharo mrutu n.k

Huyu nae kaanzisha thread eti!
Umechoka kusoma magazeti? Mwitaliano na Mpare wapi na wapi! A mere coincidence!
 
Du! Kwa nini tusitumie muda huu wa ktuma post kama hizi kuwaza mambo ya kujenga?

Ungeanzisha thread ya kichambuzi na kuonesha jinsi utendaji kazi channel 10 ulivyo mbovu au ulivyo nzuri, kisha ukaja na sababu kuwa inasababishwa na ukabila, ningeona kuna jambo la kutufunza hapo. Lakini issue hapa ni kale ka-kansa ka ukabila, HAKANA TIJA HATA KIDOGO. Nikianzisha kampuni yangu, sitaajiri kwa kuangalia rangi, kabila, udini, undugu n.k. Hii haina maana kuwa kama ndugu yangu au watu wa kabila fulani watakuwa na utendaji bora haitakuwa kikwazo kwangu kuwaajiri kwa kuwa eti wako wengi. Kama kuajiri watu wa kabila fulani, rangi, dini kutaongeza ufanisi wa kampuni yangu sioni sababu hata kidogo ya kutowaajiri. Kitu cha kwanza kujali ni Utendaji bora. Hayo mengine ni subsidiary.
 
Mbona wanyakyusa walipokuwa wengi NIC watu walilalamika?Hata hivyo nadhani ni mapenzi ya watu wenyewe kwani jeshini wengi ni kutoka kule kwenye ugomvi usiokwisha,mapanga,marungu,kuibiana ng'ombe n.k
Sasa hivi utakuta wachaga wengi ni wahudumu wa mabaa,madanguro,na sehemu mbalimbali za starehe!
Ila sasa wewe ndio umehamisha hoja, ungeanza thread ya kwako mpya. Suala la msingi hapa ni wapare na channel ten. Sasa wachaga na baa na madanguro imetoka wapi? Wanyakyusa na NIC ilikuwa swali la wakati wake nalo lilijibiwa wakati ule. Wanajeshi na huko usemako ambako hata waogopa kuwataja umeshasema kidogo sababu ya japo kwa mbali. Sasa hujasema chochote kuhusu swali la mleta hoja, usimnyime haki ya kujibiwa.
 
e bana watu acheni mambo ya kuwekeana chuki haifai bana waache watu wapige kazi bana
 
Mtoa hoja ana hoja kwani ukabila au udini haviwezi kuleta tija katika nchi yetu, ila kwa issue ya kuwa na wapare wengi katika taasisi ya kibinafsi nafikiri sio tatizo sana ila kama ingekuwa taasisi ya umma pengine kidogo ingesumbua, ila kitu cha msingi ni kwamba tija ipo? wanasifa zinazotakiwa au wameokotezwa tu? taratibu za kuajili hapo Channel Ten ni za wazi au kinyemela?
 
,Hivi nikiwa na kampuni yangu ya magari nikaajiri masinga singa asilimia 90% nitakuwa nimekosea nini, maana wagogo si fani yao na kwanini nimuajiri singa singa kwenye ranchi badala ya mgogo. Hiyo channel ten ina wafanyakazi wangapi, na kama kuna watu wenye sifa hasa tukijua kuwa ni kampuni binafsi kuna tatizo gani!
.
Na vipi kama nimetangaza nafasi za kazi halafu waka apply Mcharo 10 nikaajiri wa 3 wenye sifa,hapo ni ukabila? Maana wengine hawaku apply, labda kwa kutoipenda kazi au maslahi hafifu!!!
 
TUKUBALI TUKATAE.........UKABILA & UDINI UNAINYEMELEA TANZANIA......nchi ambayo misingi yake si ya kikabila wala udini.......sekta binafsi zinachangia kwa kiasi kikubwa....!
 
Back
Top Bottom