Wapare na channel ten!

faithful

JF-Expert Member
Aug 10, 2010
378
33
Wadau mimi naomba kuuliza hivi ukiwa mpare inakuwa rahisi sana kupata kazi channel ten eeh!
au ndio sifa mojawapo ya kuajiriwa pale?
hebu ona watangazaji wao.......................................salma msangi mziray,semvua msangi,upendo msuya,mcharo mrutu n.k
 
majungu sasa hayo

Majungu yako wapi?Si kakupa mfano hapo wa watu wengi tu ambao ni wapare.Na hao ni wale wanaonekana....huko nyuma ya pazia kukoje?Kama una namna nyingine ya kuelezea hii kitu weka sababu zako mbele otherwise nyamaza!Wakati mwingine si lazima kuchangia.
 
Kuna ukweli!!
 
Mbona wanyakyusa walipokuwa wengi NIC watu walilalamika?Hata hivyo nadhani ni mapenzi ya watu wenyewe kwani jeshini wengi ni kutoka kule kwenye ugomvi usiokwisha,mapanga,marungu,kuibiana ng'ombe n.k
Sasa hivi utakuta wachaga wengi ni wahudumu wa mabaa,madanguro,na sehemu mbalimbali za starehe!
 
Mnaona Channel ten tu je ITV ni lazima uwe mchaga???, pale Channel ten kuna makabila mengine kama Cyprian Musiba licha ya kuwa asilimia kubwa ni wapare ana pia pale ITV kuna watangazaji makabila mengine kama Godwine Godwe ila wengi ni wachaga.Mambo ya Ngoswe tumuachie Ngoswe mwenyewe.
 
Kama mambo ya ngoswe umwachie ngoswe kwa nini unachangia..............Hebu acha hizo.........
 
Yangekuwa ndio yale majina yetu ya kina Rweyemamu, Mwintagondoshoreraga, Kabantega, Mubito n.k kutoka BK mngesema maneno mengi sana.
Mngeongeza tena wanapenda sana chini.
Halafu ni matapeli wakubwa mjini hapa, wanajidai, wanaringa.
Dah huwa mnaongea sana.
Leo limewaangukia ndugu zenu, jirani zenu na watani wenu WAPARE, wasemeni sasa
Wadau mimi naomba kuuliza hivi ukiwa mpare inakuwa rahisi sana kupata kazi channel ten eeh!
au ndio sifa mojawapo ya kuajiriwa pale?
hebu ona watangazaji wao.......................................salma msangi mziray,semvua msangi,upendo msuya,mcharo mrutu n.k
 
Ukiona hivyo ujue boss (CEO) ni Mpare; tena hawa kwa nepotism au ukabila ni kati ya wanaoongoza!!! Sio hapo tu angalia kote ambako CEO ni mpare waweza kuta si chini ya 1/3 ya staff ni Wapare na hapo ofisini majungu ni aina muhimu ya kuwasiliana!!!!!!
 
Etieeeeh??? Duh kasheshe,sikulijua hilo.
 
Majungu yako wapi?Si kakupa mfano hapo wa watu wengi tu ambao ni wapare.Na hao ni wale wanaonekana....huko nyuma ya pazia kukoje?Kama una namna nyingine ya kuelezea hii kitu weka sababu zako mbele otherwise nyamaza!Wakati mwingine si lazima kuchangia.
Tuna bahati hako kabila ni kadogo nchii, kwa uzoefu wangu, sijaona jamii yenye ukabila hapa Tanzania kama hako ka kabila, kuna wizara fulani nyeti, kuna limama limoja liliacha limewaka wapare wenzake likishirikiana na kaka yake fisadi fulani aliyekuwa katibu mkuu, limehamia wizara nyingine linaendeleza hayo hayo na kuondoa liliowakuta wenye uwezo..they are fags!!!!! Waombewe wajifunze!
 
Uuuuhhhvvvvvvv! Dah afadhali
 
ina maana channel ten ni ya shemeji thangu? - ok nitafanya upereredhi.
 
Mkuu wala hujakosea, tushukuru Mungu hako kakabila ni kadogo lakini hata hivyo madhara yake ni makubwa. Hao jamaa wana upendeleo uliokithiri tena wapo tayari hata kukutoa roho ili wamweke mtu wamtakaye, kuna wizara moja wamejazana hao na wanalindwa na mwenzao aliye pale utumishi,so hopeless!
 
Umesahau ya Waziri Mkuu Cleopa Msuya?
Waziri Mkuu wa Tanzania na Wilaya Mpya wa Mwanga!!! upare kwa kwenda mbele
 
Wadau mimi naomba kuuliza hivi ukiwa mpare inakuwa rahisi sana kupata kazi channel ten eeh!
au ndio sifa mojawapo ya kuajiriwa pale?
hebu ona watangazaji wao.......................................salma msangi mziray,semvua msangi,upendo msuya,mcharo mrutu n.k

Mkuu mimi napingana na wale wanaosema ume backup madai yako. Huwezi kutaja wafanyakazi watano ambao ni wapare na kusema wana pendelewa. Lazima ueleze kwanza wafanyakazi kiujumla wapo wangapi na ratio ya wafanya kazi wapare na wasio wapare ni ngapi. Hao watano ulio watoa kutokana na maelezo yako they are nothing but isolated incidences au coincidences.

Pia ukisha toa uwiano wa wafanyakazi na makabila wengine lazima utoe ushahidi kuwa hao Wapare walio ajiliwa wame ajiliwa kiupendeleo. Je kama tayari nina idadi fulani ya wafanyakazi wa kabila fulani nitangaze kwamba siajiri tena wafanyakazi wa kabila hilo ili wasijae? Nao huo hauta kuwa upendeleo unao dai kupinga na wewe.

Imefika wakati tukitoka na mada kama hizi tuambatane na ushahidi wa kutosha. Ndiyo maana Tanzania watu wana changanya investigative journalism na gossip. Kama umeona kasoro chunguza na kuja na maelezo ya kutosha. Hauwezi kuweka madai yako public bila maelezo na ushahidi wowote.
 
Back
Top Bottom