Wapalestina washerehekea ushindi

Status
Not open for further replies.

albuluushiy

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
1,405
685
WAPELESTINA WASHEREHEKEA USHINDI:

Wapalestina wamesherehekea ushindi waloupata dhidi ya Mayahudi,katika vita iliyo endelea kwa muda wa siku 50.

Inazingatiwa ya kuwa wameshinda kwa sababu zifuatazo:
1-Kile Mayahudi walichokuwa wanakitaka hawajafanikiwa,ikiwa ni pamoja na kuwanyang'anya Wapelistina silaha ambazo kwa sasa wanazitengeneza.
2-Israeli wanadai kuwa jeshi lake ndio jeshi bora Mashariki ya kati lakini wamekubali kusitisha mapigano kwa masharti ya Palestina na si kwa masharti yao.
3- Kwa mara ya kwanza Palestina wanauwa idadi kubwa ya wanajeshi wa israili ukilinganisha na vita vya nyuma walipokuwa wakitumia mawe tuu kujibu mashambulzi.
4-Uchumi wa Israili umeyumba kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na vita vya mwanzo walipokuwa wakiwauwa kwa silaha nzito,huku wapalestina wakitumia mawe tu.
5-kubwa ya yote Mayahudi wamekubali kusitisha mapigano kwa masharti ya Palestina"kama"kumaliza mzingiro huko Gaza,kufunguliwa mipaka,kuimarishwa Gaza nk.ama wao walichokipata ni kuuwa watoto,wanawake,na wote wasiohusika pamoja na kuvunja majumba hovyo.
 
Hivi pamoja na zaidi ya Wapalestina zaidi ya ya watu 2000 kuuawa na hasara kubwa ya kubomolewa majumba, bandarina miundombinu,wao wanaona wameshinda??? yaani thamani ya utu wao wanaona ni kama takataka???
Sasa na huu uchumi wa Israeli kushuka je uchumi wa Palestina umepaa???
Mbona sijaelewa hapa jamani??
 
Utaelewa tu,ndio mana Israel ikakubali masharti ya Wapalestina,kwa maana wameshindwa.Israel wanajeshi waliokufa wamepewa mafunzo kwa gharama kubwa,ni hasara kubwa,na pia silaha walizotumia ni za gharama kubwa,mpaka uchumi wao uliyumba.
 
Ili kuondoa ubishi wa takbiiir na wagalatia na wa sunni na washia. tukubali wapalestina wameshinda. HAYA HONGERENI WAISLAMU MMESHINDAA. SUBIRINI ZAWADI YENYU YA KUJENGA MAKAZI UPYA. yale yale magoli twafungwa lkn chenga twawala
 
Wote wamekula hasara vita havina mshindi, cha ajabu pia (mleta mada amesahau au hakijui ) ni kuwa katika makubaliano ya kusimamisha vita ni pamoja na Israel itagharamikia kujenga upya miundo mbinu yote na majumba iliobomoa huko Gaza.
 
natamani apa jf c v ziwekwe wazi..kwa maana mtu analeta mada kwa hoja, cha ajabu mtu anakuja na mitusi na kejeli za hali ya juu bila kutoa hoja za akili, hofu zaidi huja pale ujuapo huenda mtu ni professor au ni graduate...shame to you.......Kwan Kama huna hoja zenye nguvu ni lazma uchangie???
 
Kama Israel ingeshinda, Hamas wasingebakia pamoja na silaha zao. Na jinsi Israel ilivyouwa raia wa Palestine ambao hawana hatia, imejishushia sana hadhi.
 
To be honest vita ni dangerous business na huwa havina mshindi bali ni hasara ya kila upande.
 
Ngozi nyeusi bana, mmelaaniwa mkalaanika. Migogoro ya hao wajingawajinga we inakuhusu nini mpaka ushangilie? Subiri nchi yako itakapoivamia malawi au rwanda na ikashinda ndo uje hapa kukenua mimeno yako.

Mijitu mingine ni kama mikosi kuishi nayo kwenye jamii.
 
Hivi pamoja na zaidi ya Wapalestina zaidi ya ya watu 2000 kuuawa na hasara kubwa ya kubomolewa majumba, bandarina miundombinu,wao wanaona wameshinda??? yaani thamani ya utu wao wanaona ni kama takataka???
Sasa na huu uchumi wa Israeli kushuka je uchumi wa Palestina umepaa???
Mbona sijaelewa hapa jamani??

Mashabiki wa Palestine ni vilaza na hawajui hatA wanachokiongea
 
Hivi pamoja na zaidi ya Wapalestina zaidi ya ya watu 2000 kuuawa na hasara kubwa ya kubomolewa majumba, bandarina miundombinu,wao wanaona wameshinda??? yaani thamani ya utu wao wanaona ni kama takataka???
Sasa na huu uchumi wa Israeli kushuka je uchumi wa Palestina umepaa???
Mbona sijaelewa hapa jamani??

........huwezi kuelewa ! kwa sababu hutaki kushughulisha kichwa chako !
1. Pamoja na kushambulia kwa madege, vifaru na makombora kutoka melini, mayahudi wame achieve nini !?
2. Kiongozi gani wa hamas ameuawa au kutekwa !?
3. Wamekamata vifaa au makombora/maroketi mangapi yaliyokuwa yakirushwa na Hamas !?
4. Je, wamefanikiwa kudhoofisha uwezo wa Hamas kushambulia kwa maroketi/makombora !?
5. Hamas imedhoofishwa uwezo wake (jeshi limesambaratika ?) !?
6. Wana mateka wangapi Askari wa Hamas !?
7. Demand (Matakwa) ya Hamas kama masharti ya kusimamisha mapigano yalisikilizwa na kukubaliwa !?
Fanya tathmini kwa kutafuta hayo majibu. lidoda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom